Psalm 103
JF-Expert Member
- Jul 5, 2026
- 1,657
- 2,723
Tajiri kutumia utajiri wake bila kujificha ni dhambi ila maskini kutumia ufukara wake kujitangaza labda apate misaada sio dhambi
Tajiri kutumia utajiri wake bila kujificha ni dhambi ila maskini kutumia ufukara wake kujitangaza labda apate misaada sio dhambi
Naona anajimaliza sanaHao ndio wateja wake wa Magari ya bei mbaya.
Kuna watu hawapendi kuzidiwa anataka yeye ndo awe top,,,Mwanaume kuwa na wivu haipendezi kabisa.
watu wa dar wanashida sana wanahisi jiji pekee tz ni dar ,doto anatuonesha madhara ya kuzaliwa na kukulia eneo moja kuanzia utoto hadi utu uzimaMwanza ni jiji pia
factwatu wa dar wanashida sana wanahisi jiji pekee tz ni dar ,doto anatuonesha madhara ya kuzaliwa na kukulia eneo moja kuanzia utoto hadi utu uzima