Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Mlokole kwenye 1 na 2Yote ni ubatili.
Zile ndinga zote, ni kiwindiaaaa 😀😀“Hakuna tajiri anakaa porini mi navyojua mtu akiwa na hela anatoka porini anakuja mjini uanza maisha mapya, hao sijui matajiri wa Nyamongo sijui Mwanza, Geita mnatuchosha, kwanini mnapenda kujisifia matajiri wako huko?"
"Kuna tajiri sasa huko Geita? Huko kuna watu wa kushinda kwenye mashimo kama nyoka, mtu kapata jiwe lake la Bil.2 Bil.3 tayari hekaheka, makelele mengi watu hatupumui Dar es Salaam, matajiri mnamiliki gari aina moja C100, si gari za kuwindia hizo.”
Kauli ya Dotto Magari kuhusu Tajiri wa Katoro, Sylivester Buyamba.
Dah ila sylvester Buyamba katikisa mitandao ya kijamii. Imesambaa hadi Rwanda, Congo, Burundi, Malawi, Zambia hadi West Africa huko. Imehit Internet kwa fujo ya ajabu.“Hakuna tajiri anakaa porini mi navyojua mtu akiwa na hela anatoka porini anakuja mjini uanza maisha mapya, hao sijui matajiri wa Nyamongo sijui Mwanza, Geita mnatuchosha, kwanini mnapenda kujisifia matajiri wako huko?"
"Kuna tajiri sasa huko Geita? Huko kuna watu wa kushinda kwenye mashimo kama nyoka, mtu kapata jiwe lake la Bil.2 Bil.3 tayari hekaheka, makelele mengi watu hatupumui Dar es Salaam, matajiri mnamiliki gari aina moja C100, si gari za kuwindia hizo.”
Kauli ya Dotto Magari kuhusu Tajiri wa Katoro, Sylivester Buyamba.
Dotto inamuuma hakualikwa kwenye send off“Hakuna tajiri anakaa porini mi navyojua mtu akiwa na hela anatoka porini anakuja mjini uanza maisha mapya, hao sijui matajiri wa Nyamongo sijui Mwanza, Geita mnatuchosha, kwanini mnapenda kujisifia matajiri wako huko?"
"Kuna tajiri sasa huko Geita? Huko kuna watu wa kushinda kwenye mashimo kama nyoka, mtu kapata jiwe lake la Bil.2 Bil.3 tayari hekaheka, makelele mengi watu hatupumui Dar es Salaam, matajiri mnamiliki gari aina moja C100, si gari za kuwindia hizo.”
Kauli ya Dotto Magari kuhusu Tajiri wa Katoro, Sylivester Buyamba.
AhahahaaaaaMlokole kwenye 1 na 2
Dotto anatafuta views, likes na attention tu. Usimchukulie seriously.Kuamua kuishi mjini au kijijini ni personal choice, haina uhusiano wowote na net worth ya mtu.
Bado ana mtazamo finyu sana.
Tajiri kutumia utajiri wake bila kujificha ni dhambi ila maskini kutumia ufukara wake kujitangaza labda apate misaada sio dhambi🤔Ahahahaaaaa
simaanishi ukiwa tajir ni dhambi ila kuutumia ili uonekane na watu wakusifie.
Sasa unataka asisifiwe na walio hai ili baadaye asifiwe na wafu?Ahahahaaaaa
simaanishi ukiwa tajir ni dhambi ila kuutumia ili uonekane na watu wakusifie.
Hivi huyu jamaa amejenga mtaa gani hapo katoro, maana watu wazito wengi wapo kalifonia street!Dah ila sylvester Buyamba katikisa mitandao ya kijamii. Imesambaa hadi Rwanda, Congo, Burundi, Malawi, Zambia hadi West Africa huko. Imehit Internet kwa fujo ya ajabu.
adriz de mbusii
Mambo ya anasa, mkuu any way kila mtu afanye atakavyoamua.Sasa unataka asisifiwe na walio hai ili baadaye asifiwe na wafu?
mshamba yule hajui lolote yaani mtu atoke eneo lake la kazi akaishi mjini kufanya nini sasa,na kwa tafiti matajiri wengi uishi nje ya miji,“Hakuna tajiri anakaa porini mi navyojua mtu akiwa na hela anatoka porini anakuja mjini uanza maisha mapya, hao sijui matajiri wa Nyamongo sijui Mwanza, Geita mnatuchosha, kwanini mnapenda kujisifia matajiri wako huko?"
"Kuna tajiri sasa huko Geita? Huko kuna watu wa kushinda kwenye mashimo kama nyoka, mtu kapata jiwe lake la Bil.2 Bil.3 tayari hekaheka, makelele mengi watu hatupumui Dar es Salaam, matajiri mnamiliki gari aina moja C100, si gari za kuwindia hizo.”
Kauli ya Dotto Magari kuhusu Tajiri wa Katoro, Sylivester Buyamba.
Yeye jiwe lake la Bilion 1 liko wapi?“Hakuna tajiri anakaa porini mi navyojua mtu akiwa na hela anatoka porini anakuja mjini uanza maisha mapya, hao sijui matajiri wa Nyamongo sijui Mwanza, Geita mnatuchosha, kwanini mnapenda kujisifia matajiri wako huko?"