Dotto Magari: Hakuna tajiri anaeishi porini,matajiri wanaishi mijini kama Dar.

Inawezekana kua mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu,
Huyo Dotto ndio nani huko Daslam?
 
Yaani gari zote zinfanana, wanavyopenda kuvaa sare , ngoja siku ya harusi uone.
 
Ukitaka kuwa na amani katika maisha ni pamoja na kukubali kuwa kuna walio zaidi yako! Aidha, hali hiyo isikufanye ushindwe kujivunia wewe!
 
Dotto mjanja nia yake wale jamaa wakasirike waje kununua magari kwa fujo na wampe ganji hiyo akili kumukichwa
 
Sasa tajiri anakula bata huko Katoro
Doto magari anateseka Dar
 
Matajiri wanakaa vijijini kwenye hewa safi. Nyamongo masaki kuna majumba ya kifahari mengine yanazidi za Oysterbay.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…