GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #141
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.Nakuelekeza tu wewe pamoja na huyo mwenzio,unapokuja kujitamba kuhusu kumiliki magari kwanza toka kwenye matumizi ya toyota na second hand cars vinginevyo na wewe ni takataka tu.
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.manyuzi ya hivi huwa yanaruhusiwaje humu JF. yana tija gani kwetu sisi wanajamii
Swadakta.Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
Kwani kuna shida gani mtu akimiliki IST?Mkuu unamiliki IST nini na Wewe?
Ng'ombe ni ng'ombe tu mradi ana miguu minne!"Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.
Haya wale mnaomiliki IST njooni hapa mumtolee Povu Dotto Magari japo Mimi kama kawaida nakubaliana nae 100%.
Mtu akishashiba viazi tu anasahau suruba za hii Dunia anyway nikikukuta road nitakupa lift na IST yangy"Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.
Haya wale mnaomiliki IST njooni hapa mumtolee Povu Dotto Magari japo Mimi kama kawaida nakubaliana nae 100%.
Wewe una range au private jet ndugu Genta.Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
Umenena vyema sana kakaHawa Bongo movie wanajigamba na Range za mkopo wakiumwa kidogo tu wanatembeza bakuli....
Udalali nao ni kazi?Kwa Maisha ya kitanzania hayuko sahihi, kwa maisha ya kazi yake (udalali wa magari)yuko sahihi
Huyu bwabwa anatuletea ujinga wa akina Dotto Magari utafikir kasema Jambo la maana,,, hapa mjini unaweza kujisifu Kwa kumiliki gar kwel??Malipo ni hapa hapa duniani
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.Kwani kuna shida gani mtu akimiliki IST?
Dotto kuna siku hizi dharau zako utatamani siku zirudi nyuma ufute kila neno ulilotoa.
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.Wenye akili timamu na wenye pesa huwa haropokwi .kuna matajiri kibao wanaendesha ndinga kali hukuti wakijisifu upuuzi huu .kuta jinga moja ambalo hata shule halikwenda kutoa ujinga kapata gari kwa ngekewa tena alikuwa anauza ya wenzie kapata kwa bahati kutwa kukashifu wenzie ..kukandia wasomi as If yeye ndio wa kwanza kupata na anaakili nyingi mno kuwashinda wengine..dunia duara atulize domo
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.N
Ng'ombe ni ng'ombe tu mradi ana miguu minne!
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.Mtu akishashiba viazi tu anasahau suruba za hii Dunia anyway nikikukuta road nitakupa lift na IST yangy
Nina Baiskeli tu tena aina ya Direla.Wewe una range au private jet ndugu Genta.