Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
No mkuu Genta, huko kwenye IST ndiko nilianzia namshukuru Mungu amenipandisha kwa kiasi chake.Pole sana Mkuu kwa kuwa na IST.
Mbona wenye IST mna Hasira sana? Mmeguswa mfupani na Dotto Magari? Pole na Poleni sana.Watu wajinga wanapewa exposure ya kuhubili upumbavu wao, ni aibu.
Mkuu kwani na Wewe unamiliki IST?Watanzania mafanikio kidogo tuuu unaanza waona wengine hamnazooo ..... one day taongea lugha moja
IST yako bado ipo ili Uniazime nipige nayo Misele?No mkuu Genta, huko kwenye IST ndiko nilianzia namshukuru Mungu amenipandisha kwa kiasi chake.
Lakini siwezi kuwabeza wenye IST au wale wasio tumia gari zao bali Public trans. Ni ushamba kumuona mtu yuko kwenye mwendo kasi au daladala na kumdharau.
Siku moja katika mishe zangu pale JNIA tulikutana na MO kaingia na boda kuwahi ndege baada ya kushuka kwenye foleni na kuhisi atachelewa. Jee kibaka kama huyo anaweza kumdharau MO?
Kadri siku zinavoenda ueredi wako unashuka na hivi karibuni utaishiwa hoja kabisa, utaanza kutuletea ubuyu tu kama NifahMbona wenye IST mna Hasira sana? Mmeguswa mfupani na Dotto Magari? Pole na Poleni sana.
Dotto magari alikuwa mpokeaji wa vitu vya wizi kinondoni na supply wake bill nas na wengine kinondoni. Pale ostabey tukimwaga mwengi unaweza kubaki mdomo wazi na utajiuliza ostabey wakawa na kituo nyumba ambayo inatumika kutesa au ukachukuliwa na watu wasijue hipo mikocheniMshamba ni yeye na pia anaonyesha amekosa elimu.
Teh tehDotto magari alikuwa mpokeaji wa vitu vya wizi kinondoni na supply wake bill nas na wengine kinondoni. Pale ostabey tukimwaga mwengi unaweza kubaki mdomo wazi na utajiuliza ostabey wakawa na kituo nyumba ambayo inatumika kutesa au ukachukuliwa na watu wasijue hipo mikocheni
Mwenye JamiiForums yake Maxence Melo wala hana tatizo na hilo ila Popoma na Dunduka Mwandamizi Wewe unaumia.Mods muwe mnaunganisha nyuzi za huyu mtoa mada. Nyuzi zaidi ya 20 ndani ya siku moja
Ueredi ndiyo Kiswahili gani hiki? Ukiwa una Chuki na GENTAMYCINE basi jitahidi uwe na Akili na pia uje Kuandika vizuri sawa?Kadri siku zinavoenda ueredi wako unashuka na hivi karibuni utaishiwa hoja kabisa, utaanza kutuletea ubuyu tu kama Nifah
Baada ya ID yako kupewa Red Card umeamua uibuke na hii ukidhani GENTAMYCINE ni Popoma kama Wewe sitokushtukia.Rubbish🚮
Kisa tu unamiliki IST?Ifike kipindi media ziache kuhoji wagonjwa wa akili.
Mleta huu Uzi GENTAMYCINE hata Baiskeli tu sina / hana, ila nimeamua / kaamua kuwa Mjumbe wa kuleta hiki alichosema Dotto Magari.
Kazi Kwenu wenye IST zenu.
Imeisha hiyo.....!!
Sawa Mama.Ueredi ndiyo Kiswahili gani hiki? Ukiwa una Chuki na GENTAMYCINE basi jitahidi uwe na Akili na pia uje Kuandika vizuri sawa?