Double Standard bila soni: Mbatia kutojihusisha na NCCR hadi itakapoamuliwa vinginevyo, Wabunge 19 kujihusisha hadi itakapoamuliwa vinginevyo

Spika alisema hatawaondoa wabunge wa covid 19 kwa sababu wanasima watakwenda mahakanani!! (Si kwa sababu wameenda mahakamani na mahakama imeshatoa zuio!!). Alitoa maamuzi hayo kwa kusikia tu bila amri yoyote ya mahakama!!
 
Mbatia alijichanganya mwenyewe kupokea watu kutoka chadema na kuwapa uongozi haraka.
Marta Chiomba 2015 aligombea udiwani kawe kupitia cdm, alipohamia NCCR ghafla amekuwa katibu mkuu,
Selasini alikuwa mbunge Cdm, ndie ametoa taarifa ya kumtimua Mbatia a.k.a mama Tanzania
 
hakuna mtu naye mchukia kwa sasa kama halima mdee, ameendelea kuwa mwizi wa pesa za Jamhuri Ya Tanzania akishirikiana na cheusi mangala kwa sasa
 
NCHI ya AJABU sana Sakata la Wabunge 19 waliofukuzwa Chadema lakini Wapo BUNGENI kinyume na KATIBA Msajili wa Vyama Hataki kabisa kupaza SAUTI amekaa Kimya kwa sababu UCHAFU wote ALISHIRIKI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 

Ukitaka kulinganisha vitu, hakikisha unafanya apple-to-apple comparison. Kuna court order yoyote inayomzuia Msajili kutambua Mbatia kuvuliwa uwenyekiti na chama chake?
 
Alafu wakati wa kupiga kura mnajazana kwenye mistali wkt hali halisi ndiyo hii.

Mtu fulani anakwambia eti ni 'haki yako' kwa mfumo upi haki yangu inatoa majibu stahiki?.
 
Ukitaka kulinganisha vitu, hakikisha unafanya apple-to-apple comparison. Kuna court order yoyote inayomzuia Msajili kutambua Mbatia kuvuliwa uwenyekiti na chama chake?
Hata spika hakuwa na court order inayomzuia kutotambua uanachama wa chadema wa wabunge wa covid 19. Alisema kuwa amesikia wameenda mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama!!
 
Chai ya asali na viandazi vya Dr Bashiru Ally vimegharimu uenyekiti wa miaka 22 wa James Mbatia

uroho sio kitu kizuri2
 
Hata Mbowe chupuchupu aporwe chama na Sumaye kama sio kina X Mayor Jacob
 
Hata spika hakuwa na court order inayomzuia kutotambua uanachama wa chadema wa wabunge wa covid 19. Alisema kuwa amesikia wameenda mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama!!

Kwahiyo tuseme wewe hujaiona restraining order ya Mahakama Kuu?
 
Yure mupe.. Yure muruke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…