Watanganyika hawajitambui hata kidogo.Mkuu funguka, hii ndo sababu ya kufuta sherehe?
Kwa maoni yangu, hili halijakaa sawa.
Sherehe hizi ni za Wananchi au ni za Viongozi tuliowaweka madarakani? Je, bila kufanya kinachosemekana ni Kitaifa pale uwanja wa Uhuru, nchi imekosa njia ya namna huku vijijini Matombo wananchi tukasherehekea?
Wadau naombeni maoni yenu,tuishauri Serikali yetu.
Mapinduzi ni matukufuKwa maoni yangu, hili halijakaa sawa.
Sherehe hizi ni za Wananchi au ni za Viongozi tuliowaweka madarakani? Je, bila kufanya kinachosemekana ni Kitaifa pale uwanja wa Uhuru, nchi imekosa njia ya namna huku vijijini Matombo wananchi tukasherehekea?
Wadau naombeni maoni yenu,tuishauri Serikali yetu.
NDIYOMkuu funguka, hii ndo sababu ya kufuta sherehe?
Kweli kabisaWatanganyika hawajitambui hata kidogo.
UNATAKA KUTIWA NGUVUNI WEWE
Usipindishe Mada. Unataka kusema Uhuru wa Tanganyika ilikuwa 1961/ 1962 au 1961? Nyinyi ndo mnaovamia mada bila kuwa na hoja.Zungumzia mwaka wa fedha. Mwaka jana zilifanyika zote, mwaka huu moja imeshahairishwa, tusubiri hiyo ya mwakani.
KibuduTanganyika ilishajifia siku nyingi sana.