Double Standard: Kwa mwaka huohuo mmoja wa kalenda, Sherehe za Mapinduzi Zanzibar sawa, ila Sherehe za Uhuru wa Tanganyika hapana

Double Standard: Kwa mwaka huohuo mmoja wa kalenda, Sherehe za Mapinduzi Zanzibar sawa, ila Sherehe za Uhuru wa Tanganyika hapana

Wazanzibari wabinafsi sana tumefanya makosa makubwa sana kukabidhi nchi kwa chura wa kizanzibari na bado tutaisoma
Huenda ukawa uko sahihi. Hivi pale yule marehemu alipoahirisha alikuwa MZANZIBARI? Au kwa kuwa hakuwa Mzanibari yeye alikuwa sawa? Naye alikuwa Chura wa Kitanganyika? Au tuseme umesahau, ulikuwa kiziwi, kipofu au ulikuwa bubu?

Watanzania tupo, Wazanzibari tupo na tutaendelea kuwepo madhali muungano upo. Hutaki fanya maamuzi sahihi, lkn najua hutofanya kwani wewe ni KITATANGE.

Waswahili huwa tunasema: Ukipenda boga upende na mti wake.

Mutasema sana lkn msiba wa kujitakia hauna kilio.
 
Wewe Mtanganyika(Chogo) ni koloni la Zanzibar, pigania uhuru kwanza ujikomboe kutoka katika makucha ya utawala wa Kizanzibari ndipo uje kujipanga jinsi ya kusherehekea uhuru kwa namna uonavyo inakufaa.
Msilalamike! Bimkubwa wenu atatoka tu! Halafu mtafurahia show!
 
Back
Top Bottom