Saidia kutaja baadhi please. Una hoja nzuri lkn andiko lako limekuwa fupi mmno. Liko biased, double na double standardsKwema Wakuu!!
Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.
Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.
Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama anamakosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.
Nashauri, baada ya Sebaya kupewa haki zake, basi na wengine wanaofahamika wenye tuhuma wafikishwe kizimbani ili kuondoa double Standard.
Wanaofahamika.
Nawasilisha
Naunga mkono hoja.Kwema Wakuu!!

Kwahiyo mh rc mstaafu wa jiji maarufu nayeye ashughulikiwe???Naunga mkono hoja.
P
Weka na orodha ya wengine wanaostahili kwa urahisi wa kuchangia na kuibua yasiojulikana na wengine.Kwema Wakuu!!
Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.
Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.
Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama anamakosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.
Nashauri, baada ya Sebaya kupewa haki zake, basi na wengine wanaofahamika wenye tuhuma wafikishwe kizimbani ili kuondoa double Standard.
Wanaofahamika.
Nawasilisha
Wenye kushukiwa kutenda uhalifu unaofanana ama unaozidi wa aliye nyavuni hivi sasa.Serikali unajua ninazungumzia nini
Bwana pascal, ngoja tuone vinafasi vilivyobaki labda twaweza bahatisha uteuzi. InshallahNaunga mkono hoja.
P
Umejitenga na Wazalendo wa nyumbani?Naunga mkono hoja.
P
Na isiishie tu kwa viongozi wa Serikali na CCM wapo pia wahalifu wengine kwenye vyama vya upinzani.Kwema Wakuu!!
Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.
Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.
Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama anamakosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.
Nashauri, baada ya Sebaya kupewa haki zake, basi na wengine wanaofahamika wenye tuhuma wafikishwe kizimbani ili kuondoa double Standard.
Wanaofahamika.
Nawasilisha
Kwa angalizo hilo ni vema ukaweka na orodha yao hapa hao wengine ili kuweza kukazia mada JokajeusiKwema Wakuu!!
Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.
Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.
Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama anamakosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.
Nashauri, baada ya Sebaya kupewa haki zake, basi na wengine wanaofahamika wenye tuhuma wafikishwe kizimbani ili kuondoa double Standard.
Wanaofahamika.
Nawasilisha
Kwa angalizo hilo ni vema ukaweka na orodha yao hapa hao wengine ili kuweza kukazia mada Jokajeusi
Sent using Jamii Forums mobile app