Double Standard ndio italiangamiza Taifa

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,323
Reaction score
10,813
Kwema Wakuu!!

Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.

Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.

Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama ana makosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.

Nashauri, baada ya Sebaya kupewa haki zake, basi na wengine wanaofahamika wenye tuhuma wafikishwe kizimbani ili kuondoa double Standard.

Wanaofahamika.

Nawasilisha
 
Kwema Wakuu!!

Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.

Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.

Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama anamakosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.

Saidia kutaja baadhi please. Una hoja nzuri lkn andiko lako limekuwa fupi mmno. Liko biased, double na double standards
 
Naunga mkono hoja.
P
 
Weka na orodha ya wengine wanaostahili kwa urahisi wa kuchangia na kuibua yasiojulikana na wengine.
 
Saidia kutaja baadhi please. Una hoja nzuri lkn andiko lako limekuwa fupi mmno. Liko biased, double na double standards

Wanaofahamika
Zamani waliitwa wasiojulikana
 
Kwema Wakuu!!

Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.

Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.

Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama anamakosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.

Nashauri, baada ya Sebaya kupewa haki zake, basi na wengine wanaofahamika wenye tuhuma wafikishwe kizimbani ili kuondoa double Standard.

Wanaofahamika.

Nawasilisha
Na isiishie tu kwa viongozi wa Serikali na CCM wapo pia wahalifu wengine kwenye vyama vya upinzani.
 
Bashite hatakiwi kuishi uraiani,amechafuka sana kuliko sabaya
 
Kwema Wakuu!!

Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.

Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.

Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama anamakosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.

Nashauri, baada ya Sebaya kupewa haki zake, basi na wengine wanaofahamika wenye tuhuma wafikishwe kizimbani ili kuondoa double Standard.

Wanaofahamika.

Nawasilisha
Kwa angalizo hilo ni vema ukaweka na orodha yao hapa hao wengine ili kuweza kukazia mada Jokajeusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom