Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Binadamu wengi huwa na double standards kwa sababu hawaongozowi kwa logic bali hisia zaidi, ndio maana hata Wasabato wanasema kufanya kazi Jumamosi ni dhambi lakini wanapanda daladala au kuendesha magari kwenda kanisani Jumamosi na pia wananunua vyakula kwenye migahawa ya watu wanaofanya kazi Jumamosi
Inawezekana lengo lake sio kuwatetea Marekani bali kuwatetete wapigania haki wa Irani.Hamjambo!
Hii unaizungumziaje?
Mtu anadai ni mwanaharakati wa haki za binadamu.
Huku anapigana na dhulma za CCM. Alafu muda huohuo anawatetea Wamarekani wanapoionea Iran.
Au yupo Upande wa Israel inavyowafanyia uhuni Palestina.
Au mtu yupo Upande wa Ukraine anayeonewa na Urusi. Kumaanisha anamponda Urusi.
Lakini yupo Upande wa Israel anayefanya jambo lilelile analofanya Urusi.
Hii double standard mnaizungumziaje?
Je ni ushabiki?
Inawezekana lengo lake sio kuwatetea Marekani bali kuwatetete wapigania haki wa Irani.
Nadhani inategemea kipa umbele cha mhusika. Kama kumuua mbwa aache kumgata mtoto. Ina maana umeamua uhai wa mtoto ni muhimu kuliko wa mbwa japo mbwa naye ana haki ya kuishi.Umejibu vizuri.
Swali linakuja. Unaweza kupigania haki za watu kwa kuvunja haki zingine?
Nadhani inategemea kipa umbele cha mhusika. Kama kumuua mbwa aache kumgata mtoto. Ina maana umeamua uhai wa mtoto ni muhimu kuliko wa mbwa japo mbwa naye ana haki ya kuishi.
Tuna ya kwetu Babu!! Hayo hayatuhusuHamjambo!
Hii unaizungumziaje?
Mtu anadai ni mwanaharakati wa haki za binadamu.
Huku anapigana na dhulma za CCM. Alafu muda huohuo anawatetea Wamarekani wanapoionea Iran.
Au yupo Upande wa Israel inavyowafanyia uhuni Palestina.
Au mtu yupo Upande wa Ukraine anayeonewa na Urusi. Kumaanisha anamponda Urusi.
Lakini yupo Upande wa Israel anayefanya jambo lilelile analofanya Urusi.
Hii double standard mnaizungumziaje?
Je ni ushabiki?
🤣🤣🤣🤣🤣CCM wakipiga picha na Wazungu wataita wawekezaji.
Lakini wakiona wenzao nao wanafanya vivyo, wanasema wanatumika, ni vibaraka wa mabeberu
Ndo maana nimesema inategemea na mtazamo wa mhusika.Unamaanisha haki hazilingani? Kuna haki kubwa na zipo za kawaida?
Hamjambo!