Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linapokuja suala la CCM, hiyo TAKUKURU inakuwa "taasisi ya Rushwa"
wamuulize Yusuf Manji!Hatari sana, nimeona pia gazeti moja limemchafua sana Tundu Lisu Leo, Nikajiuliza hivi ndo ingekuwa magufuli kaandikwa hivi ingekuwaje.....Ila hivi vyombo vya serikali vijue kabisa kuwa Urais ni kupokezana , Leo huyo mnaempendelea kesho atakuwa mpinzani, na huyu mnarmkandamiza kesho ndo atakuwa rais, Sijui mtaficha wapi sura zenu. Kumbukeni Malawi, Kenya, Zimbabwe, Congo na nchi nyingine nyingi kuwa vyama tawala sasa hivi ndio vyama vya upinzani.
PCCB Umemaliza Kazi Yake Vema
Tuone Chama Dola!!! Wakitenda Haki
Mguu Wa Roho Huu
Hili gazeti lazima lifungiwe!!
Mimi nilijua wanawapeleka mahakamani!!Sikuwahi kujua kuwa TAKUKURU wanakifanyia kazi chama!Yaani watoa rushwa wanashitakiwa kwenye chama?
😀😀😀😀😀😀😀mbavu zangu mimi loooooooh....ni magazeti gani hayo tenaUnashangaa ya Tundu Lissu kuitwa mropokaji, gazeti Hilo Hilo Jana liliandika kuwa Maalim Seif Ni shoga,
HiliNi kweli waliandika hivyo mkuu@Johnny Sack ? Ni gazeti gani? Tunaomba picha tuweke kumbukumbu, kesho tuwe na ushahidi.
Ni kweli waliandika hivyo mkuu@Johnny Sack ? Ni gazeti gani? Tunaomba picha tuweke kumbukumbu, kesho tuwe na ushahidi.
Duh! Gazeti la Shoga linatuhumu mtu ushoga?Unashangaa ya Tundu Lissu kuitwa mropokaji, gazeti Hilo Hilo Jana liliandika kuwa Maalim Seif Ni shoga,
View attachment 1535863View attachment 1535864View attachment 1535872
Hatupaswi kuilaumu TAKUKURU kwa hatua hiyo, kwani imeamua kufanya hivyo ili kamati ya maadili ya CCM iweze kuwachukuliwa hatua wahusika wa vitendo vya rushwa kwa kuwaondolewa sifa za kugombea nafasi mabalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu.
Hatupaswi kuilaumu TAKUKURU kwa hatua hiyo, kwani imeamua kufanya hivyo ili kamati ya maadili ya CCM iweze kuwachukuliwa hatua wahusika wa vitendo vya rushwa kwa kuwaondolewa sifa za kugombea nafasi mabalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu.
Usiulize kwani ndivyo inavyotakiwa.Hivi ndivyo TAKUKURU inavyopaswa kufanya kazi zake ?
Msijifanye nmaona ni jambo la ajabu, maamuzi hayo yametolewa kulingana na kanuni na taratibu zaTaasisi hiyo. Kma kuna mtu ana malalamiko aende mahakamani
kazi inamalizwa mahakamani na sio kweney ofisi za Lumumba.PCCB Umemaliza Kazi Yake Vema
Tuone Chama Dola!!! Wakitenda Haki
Mguu Wa Roho Huu