Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja gani uliyoitoa zaidi ya kutumia lugha ya kibaguzi? Wewe si ndio umemwita muheshimiwa "Mama wa kipemba" kwa kauli hiyo inaonyesha kabisa kua unaendeshwa na mihemko ya chuki,Kawaida yenu mkishajiona hamna hoja,unaruka ruka hapa ku-provoke ukidhani nitakuacha hoja ya kama apewe mzungu na siyo muarabu ni wewe umeileta ndiyo maana nikakuuliza...
Uliponisoma na kuni-quote hiyo post mimi nilizungumza suala la bandari apewe nani?
Kuitana majina ya ajabu ajabu hakusaidii hata mimi nina uwezo wa kukujibu hivyo ila tuna uelewa tofauti akili hizo mimi sina.
Siyo kweli. Mbona 2018 walimtawanga Baruta JPM kuhusu Utawala BoraFriends and Enemies,
In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.
Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo uongozi wa serikali unapofanya maamuz ambayo Yana ukakasi na yanagusa maslahi ya Taifa, ni jambo zuri na Kwa kias flan linastahili kupongezwa.
Suala ambalo Linazalisha maswali Kwa TEC na PENGO ni kwamba kwanini huwa wanakuwa kimya kwenye Regime zingine za Utawala hasa pale yanapotokea mambo ya ukakasi kwa Taifa pia?
During Benjamin Mkapa Regime tulishuhudia mauaji ya kikatili ya mwembechai,Unibinafsishaji wa mashirika ya umma na kias hata Mkapa mwenyew alikuja kukiri katika kitabu chake kuwa ni miongon mwa maamuzi ya hovyo kuwahi kufanyika katika Utawala wake, hakuonekana PENGO Wala TEC wakitoa kaul wala waraka za aina yoyote.
PENGO na TEC walikuja Kushamiri sana enzi za Regime ya kikwete, kiasi kwamba ilipelekea Kila anachokifanya kikwete kinageuka kuwa bango la waraka zisizoisha wenye macho waliona na bila shaka wenye kumbu kumbu wanakumbuka.
Regime ya JPM ilikua na mabaya na mazuri yake kama vile zilivyokuwa Regime zingine,mfano suala la kuizika demokrasia ndan ya nchi hii na kukandamizi uhuru wa vyombo vya habari na speech, kuminya upinzan kias had kufikia baadhi ya wapinzani kupigwa risasi ndani ya viunga vya bunge na wengine kupewa kesi za uzushi na kufungwa, hatusikia Wala kuona PENGO na TEC wakisimama kuzungumza Wala kutoa Waraka zao.
Sasa kitu kinachofikirisha, pamoja na Nia Yao njema PENGO na TEC Kwa Taifa kwanin wanakuwa selective katika kusimama na wananchi katika REGIME za uongozi ndani ya Taifa hili?
Nini kinawasukuma nyuma ya Criticism zao, uchungu Kwa Taifa lao au Wana ajenda zao za Udini?
Watu hawajiulizi kwanini mambo yanafichwa fichwa,magazeti kununuliwa au kuamriwa kuandika ”habari inayofanana” refer siku Slaa alipoongea na waandishi wa habari.Mnaowatetea hao DP msitumie dini kama kichaka cha kujifichia, uchambueni huo mkataba kipengele kwa kipengele kwa uwazi na kuipenda nchi yenu kwa vizazi vyenu vijavyo.
Ni sawa kabisa kwanini kuna double standardWatupe majibu hawa PENGO na TEC,kwanin walikuwa mabubu during Benjamin Mkapa and Magufuli Regime??
Watu wakiona mtu wao wanakuwa kimyaWatu hawajiulizi kwanini mambo yanafichwa fichwa,magazeti kununuliwa au kuamriwa kuandika ”habari inayofanana” refer siku Slaa alipoongea na waandishi wa habari.
Kwa jamii iliyoelimika hilo tu lingeifanya kutaka kufahamu zaidi kinachoendelea lakini ndiyo hivyo dini imevuruga ubongo hakuna anayehoji.
Wakati wamesemwa sanaSiyo kweli. Mbona 2018 walimtawanga Baruta JPM kuhusu Utawala Bora
Walikuq hawasemi watu walipokufa sqiv wameona mtu sio wao wamekazanaJambo la msingi haijalishi kasema nani je yanayosemwa ya ukweli?
Watanzania badala ya kuangalia content huwa tunaangalia kasema nani.
Ndio maana nashangaa wanaomsema luhanga mpina kuwa anayosema ni kwa sababu katemwa maana haijalishi anayasema kama kisasi ili mradi anayasema yana ukweli ndilo la msingi.
Tumesema mkataba unitive up ya sio mkataba aufai that is not fairMnaibuka mmoja mmoja,yaani ninyi kupewa rasilimali muhimu za taifa mwarabu hamuoni ubaya kwa sababu wamewarithisha dini hamuangalii athari zake.
Anachokifanya huyu mama wa kipemba ni kitu cha hatari sana,tupo 21 century lakini yeye analiingiza taifa kwenye mikataba ya karne ya 14 ambayo mpaka leo wale walioiingia wanajuta kwa athari zake.
Matamko ya wakatoliki kwa Rais aside mkatoliki yanapoteza uhalali wa matamkoHilo jambo kila mtu ameshaliona halina mjadala hawa huwa wanajua haki kiongozi akiwa siyo mkatoliki ndio utaona kila aina ya matamko na waraka, waache mama afanye kazi waraka wao ni kiunazi na kiushabiki
Hawa jaamaa mimi siwaelewei kabisaKwahiyo wewe tatizo lako hapo ni Mwarabu? Angepewa Mzungu ungeona ni sawa tu sio?
Huu ushauri unawafaa wale wanaoandika "Bandari asipewe Mwarabu" hapa inakua hawaeleweki kua tatizo lao kumbe ni kupewa Waarabu? Mtu badala ajikite na kuchambua content za mkataba anabaki kuandika chuki tu!Mnaowatetea hao DP msitumie dini kama kichaka cha kujifichia, uchambueni huo mkataba kipengele kwa kipengele kwa uwazi na kuipenda nchi yenu kwa vizazi vyenu vijavyo.
Wanaendeshwa na chuki za kijinga walizopandikizwa.Hawa jaamaa mimi siwaelewei kabisa
Na wakipata vi hela utaona wamejipost wako Dubai hiyo dubai wamejenga wazungu
Inamana Dubai wangesema wazungu ni wakristo ingekuwaje
Haijalishi walisema au hawakusema awali je wanachosema ni kweli au uongo ndilo jambo la msingi... Haijalishi wanasa kwa sababu si mkatoliki au mkristo la msingi wanachosema ni kweli ndiyo hoja hiyo.Walikuq hawasemi watu walipokufa sqiv wameona mtu sio wao wamekazana
Anawaita ikulu wanakimbia
Hivi hii ilikua mwaka gani?During Benjamin Mkapa Regime tulishuhudia mauaji ya kikatili ya mwembechai,
TEC na Pengo ni vitu viwili tofauti. TEC ambaye karibu wake ni Padri Charles Kutuma nenda YouTube uone mahojiano yake, hajawahi kuwa mnafiki, ata kipindi cha Magufuli. Pengo ana matatizo yake binafsi, kwanza sio msemaji wa kanisa kitaifa, alikuwa askofu mkuu wa jimbo la dar es salaam , na ndio mwisho wa mpaka wake kiutawala. Lakini waandishi na yeye mwenyewe wame entertain as if ndio kiongozi mkuu wa kanisa Tanzania, ni hivi kanisa katoliki halina kiongozi mkuu wa nchi. Kila askofu ni mkuu katika jimbo lake. Hivyo, si kweli kuwa TEC imeanza kusema awamu hii. Ilimsema sana Magufuli kuhusu uchaguzi na katiba mpaka pengo akawageuka wenzie akatukanwa na Gwajima.Friends and Enemies,
In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.
Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo uongozi wa serikali unapofanya maamuz ambayo Yana ukakasi na yanagusa maslahi ya Taifa, ni jambo zuri na Kwa kias flan linastahili kupongezwa.
Suala ambalo Linazalisha maswali Kwa TEC na PENGO ni kwamba kwanini huwa wanakuwa kimya kwenye Regime zingine za Utawala hasa pale yanapotokea mambo ya ukakasi kwa Taifa pia?
During Benjamin Mkapa Regime tulishuhudia mauaji ya kikatili ya mwembechai,Unibinafsishaji wa mashirika ya umma na kias hata Mkapa mwenyew alikuja kukiri katika kitabu chake kuwa ni miongon mwa maamuzi ya hovyo kuwahi kufanyika katika Utawala wake, hakuonekana PENGO Wala TEC wakitoa kaul wala waraka za aina yoyote.
PENGO na TEC walikuja Kushamiri sana enzi za Regime ya kikwete, kiasi kwamba ilipelekea Kila anachokifanya kikwete kinageuka kuwa bango la waraka zisizoisha wenye macho waliona na bila shaka wenye kumbu kumbu wanakumbuka.
Regime ya JPM ilikua na mabaya na mazuri yake kama vile zilivyokuwa Regime zingine,mfano suala la kuizika demokrasia ndan ya nchi hii na kukandamizi uhuru wa vyombo vya habari na speech, kuminya upinzan kias had kufikia baadhi ya wapinzani kupigwa risasi ndani ya viunga vya bunge na wengine kupewa kesi za uzushi na kufungwa, hatusikia Wala kuona PENGO na TEC wakisimama kuzungumza Wala kutoa Waraka zao.
Sasa kitu kinachofikirisha, pamoja na Nia Yao njema PENGO na TEC Kwa Taifa kwanin wanakuwa selective katika kusimama na wananchi katika REGIME za uongozi ndani ya Taifa hili?
Nini kinawasukuma nyuma ya Criticism zao, uchungu Kwa Taifa lao au Wana ajenda zao za Udini?
Pengo na TEC sio kitu kimoja. TEC imempiga sana spana mwendazake. Tuepukane na hizi hisia ovu za kuleta vitu visivyopo.Pengo na TEC ni wadini wanatetea udini na msalaba Wala hawakemei maovu akitawala mgalatia mwenzao waislam tumelala sana lakini naamn ipo siku huu upuuzi utajibiwa hii nchi siyo ya wagalatia peke yako.
Kwa hiyo hapa ni nguvu ya ushawishi wa kidini unatafutwa katika maswala nyeti ya kitaifa sio? Basi In technicalities kwenye hii ishu wagalatia Wana logic ya kutetea hili swala ,ukilinganisha na upande wa pili . Why upande wa pili hawaoji merits na externalities za hii project au kwa vile ni bird of the same feathers....,..Pengo na TEC ni wadini wanatetea udini na msalaba Wala hawakemei maovu akitawala mgalatia mwenzao waislam tumelala sana lakini naamn ipo siku huu upuuzi utajibiwa hii nchi siyo ya wagalatia peke yako.
Makosa ya Nyerere na Mkapa ni technical zaidi na unintended, lakini makosa ya Mwinyi, Kikwete, Magufuli na Samia ni ya kizembe na ya kudhamiria.Friends and Enemies,