"Double Standards" ya TEC na Kardinali Pengo linapokuja suala la ukosoaji wa utawala

Mnaowatetea hao DP msitumie dini kama kichaka cha kujifichia, uchambueni huo mkataba kipengele kwa kipengele kwa uwazi na kuipenda nchi yenu kwa vizazi vyenu vijavyo.
 
Hoja gani uliyoitoa zaidi ya kutumia lugha ya kibaguzi? Wewe si ndio umemwita muheshimiwa "Mama wa kipemba" kwa kauli hiyo inaonyesha kabisa kua unaendeshwa na mihemko ya chuki,

Huna hoja yeyote ya maana uliyoitoa hapa zaidi ya kuonyesha chuki zako wazi wazi za ki racism.
 
Siyo kweli. Mbona 2018 walimtawanga Baruta JPM kuhusu Utawala Bora
 
Mnaowatetea hao DP msitumie dini kama kichaka cha kujifichia, uchambueni huo mkataba kipengele kwa kipengele kwa uwazi na kuipenda nchi yenu kwa vizazi vyenu vijavyo.
Watu hawajiulizi kwanini mambo yanafichwa fichwa,magazeti kununuliwa au kuamriwa kuandika ”habari inayofanana” refer siku Slaa alipoongea na waandishi wa habari.

Kwa jamii iliyoelimika hilo tu lingeifanya kutaka kufahamu zaidi kinachoendelea lakini ndiyo hivyo dini imevuruga ubongo hakuna anayehoji.
 
Watu wakiona mtu wao wanakuwa kimya
Wakiona dini nyingine wanaibuka
Sasa hii double standard haikubaliki
 
Walikuq hawasemi watu walipokufa sqiv wameona mtu sio wao wamekazana
Anawaita ikulu wanakimbia
 
Tumesema mkataba unitive up ya sio mkataba aufai that is not fair
 
Hilo jambo kila mtu ameshaliona halina mjadala hawa huwa wanajua haki kiongozi akiwa siyo mkatoliki ndio utaona kila aina ya matamko na waraka, waache mama afanye kazi waraka wao ni kiunazi na kiushabiki
Matamko ya wakatoliki kwa Rais aside mkatoliki yanapoteza uhalali wa matamko
Walitakiwa wawe fair kwa marais wote
 
Kwahiyo wewe tatizo lako hapo ni Mwarabu? Angepewa Mzungu ungeona ni sawa tu sio?
Hawa jaamaa mimi siwaelewei kabisa
Na wakipata vi hela utaona wamejipost wako Dubai hiyo dubai wamejenga wazungu
Inamana Dubai wangesema wazungu ni wakristo ingekuwaje
 
Mnaowatetea hao DP msitumie dini kama kichaka cha kujifichia, uchambueni huo mkataba kipengele kwa kipengele kwa uwazi na kuipenda nchi yenu kwa vizazi vyenu vijavyo.
Huu ushauri unawafaa wale wanaoandika "Bandari asipewe Mwarabu" hapa inakua hawaeleweki kua tatizo lao kumbe ni kupewa Waarabu? Mtu badala ajikite na kuchambua content za mkataba anabaki kuandika chuki tu!

Unaposema asipewa Mwarabu ina maana kuna mwingine wewe unaona ni bora zaidi,wala haihitaji akili kubwa kutambua hilo.
 
Hawa jaamaa mimi siwaelewei kabisa
Na wakipata vi hela utaona wamejipost wako Dubai hiyo dubai wamejenga wazungu
Inamana Dubai wangesema wazungu ni wakristo ingekuwaje
Wanaendeshwa na chuki za kijinga walizopandikizwa.
 
Walikuq hawasemi watu walipokufa sqiv wameona mtu sio wao wamekazana
Anawaita ikulu wanakimbia
Haijalishi walisema au hawakusema awali je wanachosema ni kweli au uongo ndilo jambo la msingi... Haijalishi wanasa kwa sababu si mkatoliki au mkristo la msingi wanachosema ni kweli ndiyo hoja hiyo.
 
Pengo na TEC ni wadini wanatetea udini na msalaba Wala hawakemei maovu akitawala mgalatia mwenzao waislam tumelala sana lakini naamn ipo siku huu upuuzi utajibiwa hii nchi siyo ya wagalatia peke yako.
 
TEC na Pengo ni vitu viwili tofauti. TEC ambaye karibu wake ni Padri Charles Kutuma nenda YouTube uone mahojiano yake, hajawahi kuwa mnafiki, ata kipindi cha Magufuli. Pengo ana matatizo yake binafsi, kwanza sio msemaji wa kanisa kitaifa, alikuwa askofu mkuu wa jimbo la dar es salaam , na ndio mwisho wa mpaka wake kiutawala. Lakini waandishi na yeye mwenyewe wame entertain as if ndio kiongozi mkuu wa kanisa Tanzania, ni hivi kanisa katoliki halina kiongozi mkuu wa nchi. Kila askofu ni mkuu katika jimbo lake. Hivyo, si kweli kuwa TEC imeanza kusema awamu hii. Ilimsema sana Magufuli kuhusu uchaguzi na katiba mpaka pengo akawageuka wenzie akatukanwa na Gwajima.
 
Pengo na TEC ni wadini wanatetea udini na msalaba Wala hawakemei maovu akitawala mgalatia mwenzao waislam tumelala sana lakini naamn ipo siku huu upuuzi utajibiwa hii nchi siyo ya wagalatia peke yako.
Pengo na TEC sio kitu kimoja. TEC imempiga sana spana mwendazake. Tuepukane na hizi hisia ovu za kuleta vitu visivyopo.
 
Pengo na TEC ni wadini wanatetea udini na msalaba Wala hawakemei maovu akitawala mgalatia mwenzao waislam tumelala sana lakini naamn ipo siku huu upuuzi utajibiwa hii nchi siyo ya wagalatia peke yako.
Kwa hiyo hapa ni nguvu ya ushawishi wa kidini unatafutwa katika maswala nyeti ya kitaifa sio? Basi In technicalities kwenye hii ishu wagalatia Wana logic ya kutetea hili swala ,ukilinganisha na upande wa pili . Why upande wa pili hawaoji merits na externalities za hii project au kwa vile ni bird of the same feathers....,..
 
Makosa ya Nyerere na Mkapa ni technical zaidi na unintended, lakini makosa ya Mwinyi, Kikwete, Magufuli na Samia ni ya kizembe na ya kudhamiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…