"Double Standards" ya TEC na Kardinali Pengo linapokuja suala la ukosoaji wa utawala

Wachina huwa tunawaita Wachina pia lakini hatusikii haya malalamiko kwamba ya udini kuwahusu wao, Wazungu waliitwa mabeberu katika awamu iliyopita.
 
Pengo na TEC ni wadini wanatetea udini na msalaba Wala hawakemei maovu akitawala mgalatia mwenzao waislam tumelala sana lakini naamn ipo siku huu upuuzi utajibiwa hii nchi siyo ya wagalatia peke yako.
 
 
Watupe majibu hawa PENGO na TEC,kwanin walikuwa mabubu during Benjamin Mkapa and Magufuli Regime??
 
Wachina huwa tunawaita Wachina pia lakini hatusikii haya malalamiko kwamba ya udini kuwahusu wao, Wazungu waliitwa mabeberu katika awamu iliyopita.
Kosa moja halihalalishi kosa lingine,elewa hilo kwanza.
 
Hili swala la bandari na waarabu wa Dubai,Kuna wakristo hawalipendi kwa vile TU mwekezaji ni mwarabu!na Kuna waislam wanalipenda kwa vile TU ni mabwana zao wa kidini,Arabs!Hawa wote ni wajinga,
Kipindi Cha Maghu,na ukatili wake,wakatorik hawakusema kitu,kwa vile alikuwa mkatorik mwenzao,
Hizi bandari kama angekuwa amepewa Israel,au itary/vatican,au USA,Hawa wajinga kwenye ukristo wangekaa kimya,kwa sababu,ulayana uSa zinajipambanua kama ni judeo Christianity,nchi za kikristo,na Hawa wajinga wangeona ni Bora TU hata kama nchi inaibiwa,iibiwe TU as long as mwizi ni mkristo mwenzao,
Nimemsikiliza Aliyeongoza makubaliano,Hamza Johari,amefafsnua vzr TU,vitu vinaeleweka,hakuna Cha waarabu wameiba,ni uwekezaji,tatizo ukisha umwa na nyoka,ccm kwa muda mrefu wamekuwa majizi,
Kwa Swala la Bandari ni Bora kuwasikiliza watu makini,sio spin doctors,watu baised wenye maslahi Yao binafsi,
Na kwa ccm kama kitu ni kzr,hakitakiwi kuwa kigumu kukifafsnua,nendeni live Azam tv mtoe maelezo,na mpigwe maswali kutoka kwa Fstma Karume na Lisu,
 
 
Kipindi cha MAGUFULI maaskofu HAWAKUMPINGA waziwazi?
 
Kwanza tangaza your personal interest. Wewe THE BIG SHOW ni mdini?
 
Weka evidence ya TEC ikimkosoa JPM tuone
Rais wa TEC anayeitwa SEVERINE NIWEMUGIZI wa LURENGE alimkosoa dikiteta magufuli jizi la kura hadi akaitwa na uhamiaji na kunyang'anywa passport yake ya kusafiria, nyie wavaa makobaz mnaujinga mwing sana hata hamuelewi mnachopigania.
 
Kati ya hiyo mikataba iliyofanyiwa review upo usio na kikomo kama huu wa kinyonyaji wa bandari?
 
Rais wa TEC anayeitwa SEVERINE NIWEMUGIZI wa LURENGE alimkosoa dikiteta magufuli jizi la kura hadi akaitwa na uhamiaji na kunyang'anywa passport yake ya kusafiria, nyie wavaa makobaz mnaujinga mwing sana hata hamuelewi mnachopigania.
Huyu alimkosoa yeye kama yeye. Tuwekee tamko rasmi la TEC dhidi ya Magufuli.
 
Mbona nyie ( hasa wewe) Rais akiwa mkristo mnapotea ila akija dini yetu ile mnaibuka na kuanza kuitetea kama hivi? Awamu ya 4 uliigeuka kwenye issue ya gas ya Mtwara tu ila tunajua ni Lumumba promax...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…