Weka evidence ya TEC ikimkosoa JPM tuone
Jiulize katika serikali zilizopita kuna mkataba ulishawahi kuwekwa wazi ,tatizo hapa labda mama ameweka vitu wazi ndio maana kelele zinakuwa nyingi miaka ya nyuma tulikuwa tunataarifiwa tu ,maamuzi alikuwa anafanya bwana mkubwa na hakuwahi mtu kuhoji, embu tuambie mkataba wa barrick una miaka mingapi?Kati ya hiyo mikataba iliyofanyiwa review upo usio na kikomo kama huu wa kinyonyaji wa bandari?
Labda ulikuwa bado mtoto...Weka evidence ya TEC ikimkosoa JPM tuone
Jiulize katika serikali zilizopita kuna mkataba ulishawahi kuwekwa wazi ,tatizo hapa labda mama ameweka vitu wazi ndio maana kelele zinakuwa nyingi miaka ya nyuma tulikuwa tunataarifiwa tu ,maamuzi alikuwa anafanya bwana mkubwa na hakuwahi mtu kuhoji, embu tuambie mkataba wa barrick una miaka mingapi?
utaratibu wakuuza bandari zote uliona wapi uo niuzombi..Wewe ukitaka Rais wa kuja kushika watu na kuwabambikia kesi za ajabu ajabu?ukitaka Rais wa kuzuia account za bank na kuwafilsili wafanyabiashara na kuwataka waish kama. Wako motoni siyo, nchi inaendeshwa kwa utaratibu
Jibu hoja, achana na mleta hoja.Mbona nyie ( hasa wewe) Rais akiwa mkristo mnapotea ila akija dini yetu ile mnaibuka na kuanza kuitetea kama hivi? Awamu ya 4 uliigeuka kwenye issue ya gas ya Mtwara tu ila tunajua ni Lumumba promax...
Vipi MoU yao na serikali ina ukomo?Nawe umekuwa mwongo. Kumbukumbu yàngu ni kuwa TEC daima wamekemea maovu katika Awamu zote. Pengo kama yeye alijitokeza kumkumbatia Makonda na Magufuli, not TEC. Refresh your mind!
Its called Selective Outrage
Kipindi cha Magu hakusema kitu now they have an opinion.