Doumbia amesajiliwa na Pandikizi la Yanga Magori

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Ifike mahali wazalendo wa Simba tuungane na genius wa boli Murtaza Mangungu kumdhibiti huyu muhuni, tapeli na mwizi Magori anayekula pesa za benki na kutuletea magarasa.

Huyu Doumbia yeye ndiyo kamleta na kumsainisha. Huyu ametumwa huyu kutuvuruga, huyu ndio ameropoka kuwa Selemani Mwalimu ni mchezaji wa kawaida na anasema huku anacheka cheka.

Huyu tumdhibiti, tukanye nyumbani kwake.
 
Doumbia ni bonge la striker, ila anarogwa sana
 
Hii ni hatari wengine wanasema Mangungu ni yanga. Mara Ahmed Ali saivi Magori.
 
Kwani kila mchezaji anayesajiliwa lazima asifiwe hata kama viwango vimeshuka?
 
1. Golikipa hatoshi.
2. Beki wa kushoto (Kata maema)
3. Kiungo No 6
(Kata katleso)
4. Mshambuliaji No 9
(Kata DUMBIA)
 
Back
Top Bottom