Doumbia hamna mchezaji, acheni mara moja kumfananisha na Aziz Ki

Area 56

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,555
Reaction score
4,085
Hans Rafael ni tapeli anayetumia kipaza sauti cha redio.

Kila siku anaaminisha watu kuwa Doumbia ni mchezaji bora kumzidi Aziz Ki.

Mpira ni mchezo wa wazi, Doumbia hana maajab hayo. Tunaojua soka tushaona na kujua uwezo wake ni very kawaida.

Huyu Doumbia ni Deus Kaseke mwenye makeke!!
 
1. Djigui Diara
2. Israel Mwenda
3. Mohamed Hussein
4. Ibrahim Bacca
5. Dickson Job
6. Balla Conte
7. Celestine Ecua
8. Salum Abubakar Sureboy
9. Clement Mzize
10. Mudathir Yahya
11. Pacome Zouzoua
 
Sitosahau ile siku nilisema afadhali Aziz kauzwa angalau tuhangaike na huyu mablichi. Aziz Ki!!! weweee yule jamaa ni habari nyingine hile sijui ilikuwakuwaje akaja Tanzania
 
Hans Rafael ni tapeli anayetumia kipaza sauti cha redio.

Kila siku anaaminisha watu kuwa Doumbia ni mchezaji bora kumzidi Aziz Ki.

Mpira ni mchezo wa wazi, Doumbia hana maajab hayo. Tunaojua soka tushaona na kujua uwezo wake ni very kawaida.

Huyu Doumbia ni Deus Kaseke mwenye makeke!!
Mpira ni mchezo wa wazi, Doumbia hana maajab hayo. Tunaojua soka tushaona na kujua uwezo wake ni very kawaida.
 
1. Djigui Diara
2. Israel Mwenda
3. Mohamed Hussein
4. Ibrahim Bacca
5. Dickson Job
6. Balla Conte
7. Celestine Ecua
8. Salum Abubakar Sureboy
9. Clement Mzize
10. Mudathir Yahya
11. Pacome Zouzoua
Huu ndio ujinga mnauweza watanzania ngoja tu ccm waendelee kuwateka na kuwapoteza pamoja na kuwaibia rasilimali maana nyie hata mkapa aliwaita malofa na wapumbavu.
 
Hans Rafael ni tapeli anayetumia kipaza sauti cha redio.

Kila siku anaaminisha watu kuwa Doumbia ni mchezaji bora kumzidi Aziz Ki.

Mpira ni mchezo wa wazi, Doumbia hana maajab hayo. Tunaojua soka tushaona na kujua uwezo wake ni very kawaida.

Huyu Doumbia ni Deus Kaseke mwenye makeke!!
Aziz K kaja Yanga msimu mzima hakufanya vizuri, wakataka kumtoa kwa mkopo Al Hilal ya Sudan,baada ya hapo alicho kifanya ulikiona. Yaani unamtoa kasoro mchezaji kwa mabonanza haya, yaani mchezaji hajacheza hata mechi tano mshasema hajui. Ila uzuri JF inatunza risiti, kuna mwenzako muhasibu alimponda Ki ,ila msimu wa pili Ki akaanza kumjibu na uzi wake kaukimbia.
 
Hans Rafael ni tapeli anayetumia kipaza sauti cha redio.

Kila siku anaaminisha watu kuwa Doumbia ni mchezaji bora kumzidi Aziz Ki.

Mpira ni mchezo wa wazi, Doumbia hana maajab hayo. Tunaojua soka tushaona na kujua uwezo wake ni very kawaida.

Huyu Doumbia ni Deus Kaseke mwenye makeke!!
Mechi moja tu chief ushakuja na conclusion! Ushauri wangu weka akiba ya maneno
 
Back
Top Bottom