Huyu jamaa ni kama Mwasibu , Mimi kazi yangu ni kutunza risiti Kisha Kuna kuwadhalilisha na kuwaumbua .
Jamaa anajua ni mtu wa mashudu kaficha Profile yake nyuzi zake hazionekani amesahau Mimi ni Consigliere mtunza risiti mtaalamu wa hizi kazi sasa nimemdaka Kimafia amekufa kizembe kama
Maghayo The Mongolian Savage steringi nishamaliza mchezo mapema.
Cheki hii aibu alivyotabiri kuhusu Mayele na huu uzi nimeutunza kwa Matumizi ya baadae Maarassmbuss wewe [emoji1787][emoji38]
Cc :
Greatest Of All Time
View attachment 3471462