Yeah jamaa ni fundi sana.Doumbia ni fundi ila yupo slow mno
wewe unajua sana boli. HongeraAta Pacome na K Aziz walivyofika walikua wakitokea sub ila baada ya muda mfupi ilikua balaa la mjini.
Vipi alivyokuja Ikangalombo yeye hakuanzia sub?Ata Pacome na K Aziz walivyofika walikua wakitokea sub ila baada ya muda mfupi ilikua balaa la mjini.
Mpira ni mchezo wa wazi, Doumbia hana maajab hayo. Tunaojua soka tushaona na kujua uwezo wake ni very kawaida.Hans Rafael ni tapeli anayetumia kipaza sauti cha redio.
Kila siku anaaminisha watu kuwa Doumbia ni mchezaji bora kumzidi Aziz Ki.
Mpira ni mchezo wa wazi, Doumbia hana maajab hayo. Tunaojua soka tushaona na kujua uwezo wake ni very kawaida.
Huyu Doumbia ni Deus Kaseke mwenye makeke!!
Huu ndio ujinga mnauweza watanzania ngoja tu ccm waendelee kuwateka na kuwapoteza pamoja na kuwaibia rasilimali maana nyie hata mkapa aliwaita malofa na wapumbavu.1. Djigui Diara
2. Israel Mwenda
3. Mohamed Hussein
4. Ibrahim Bacca
5. Dickson Job
6. Balla Conte
7. Celestine Ecua
8. Salum Abubakar Sureboy
9. Clement Mzize
10. Mudathir Yahya
11. Pacome Zouzoua
Aziz K kaja Yanga msimu mzima hakufanya vizuri, wakataka kumtoa kwa mkopo Al Hilal ya Sudan,baada ya hapo alicho kifanya ulikiona. Yaani unamtoa kasoro mchezaji kwa mabonanza haya, yaani mchezaji hajacheza hata mechi tano mshasema hajui. Ila uzuri JF inatunza risiti, kuna mwenzako muhasibu alimponda Ki ,ila msimu wa pili Ki akaanza kumjibu na uzi wake kaukimbia.Hans Rafael ni tapeli anayetumia kipaza sauti cha redio.
Kila siku anaaminisha watu kuwa Doumbia ni mchezaji bora kumzidi Aziz Ki.
Mpira ni mchezo wa wazi, Doumbia hana maajab hayo. Tunaojua soka tushaona na kujua uwezo wake ni very kawaida.
Huyu Doumbia ni Deus Kaseke mwenye makeke!!
Mechi moja tu chief ushakuja na conclusion! Ushauri wangu weka akiba ya manenoHans Rafael ni tapeli anayetumia kipaza sauti cha redio.
Kila siku anaaminisha watu kuwa Doumbia ni mchezaji bora kumzidi Aziz Ki.
Mpira ni mchezo wa wazi, Doumbia hana maajab hayo. Tunaojua soka tushaona na kujua uwezo wake ni very kawaida.
Huyu Doumbia ni Deus Kaseke mwenye makeke!!
Sio kila siku ni IjumaaAta Pacome na K Aziz walivyofika walikua wakitokea sub ila baada ya muda mfupi ilikua balaa la mjini.