Huu nimeusave kwenye Folder ya risiti , huyu jamaa kashayakanyaga baadae zitarushwa humu ballistic missile za kutosha .Huu uzi uwekwe kwenye kumbukumbu. Unaweza ukatusaidia siku za baadaye kama zile nyuzi pendwa za Mwasibu OKWIBOBAN SUNZU.
Huyu jamaa ni kama Mwasibu , Mimi kazi yangu ni kutunza risiti Kisha Kuna kuwadhalilisha na kuwaumbua .Huu uzi uwekwe kwenye kumbukumbu. Unaweza ukatusaidia siku za baadaye kama zile nyuzi pendwa za Mwasibu OKWIBOBAN SUNZU.
We jamaaa😂😂Huyu jamaa ni kama Mwasibu , Mimi kazi yangu ni kutunza risiti Kisha Kuna kuwadhalilisha na kuwaumbua .
Jamaa anajua ni mtu wa mashudu kaficha Profile yake nyuzi zake hazionekani amesahau Mimi ni Consigliere mtunza risiti mtaalamu wa hizi kazi sasa nimemdaka Kimafia amekufa kizembe kama Maghayo The Mongolian Savage steringi nishamaliza mchezo mapema.
Cheki hii aibu alivyotabiri kuhusu Mayele na huu uzi nimeutunza kwa Matumizi ya baadae Maarassmbuss wewe 🤣😆
Cc : Greatest Of All Time
View attachment 3471462
DahHuyu jamaa ni kama Mwasibu , Mimi kazi yangu ni kutunza risiti Kisha Kuna kuwadhalilisha na kuwaumbua .
Jamaa anajua ni mtu wa mashudu kaficha Profile yake nyuzi zake hazionekani amesahau Mimi ni Consigliere mtunza risiti mtaalamu wa hizi kazi sasa nimemdaka Kimafia amekufa kizembe kama Maghayo The Mongolian Savage steringi nishamaliza mchezo mapema.
Cheki hii aibu alivyotabiri kuhusu Mayele na huu uzi nimeutunza kwa Matumizi ya baadae Maarassmbuss wewe [emoji1787][emoji38]
Cc : Greatest Of All Time
View attachment 3471462
Hii hapa risiti yake kwa Aziz Ki ya brother 'K' wa kukurupukaHuyu jamaa ni kama Mwasibu , Mimi kazi yangu ni kutunza risiti Kisha Kuna kuwadhalilisha na kuwaumbua .
Jamaa anajua ni mtu wa mashudu kaficha Profile yake nyuzi zake hazionekani amesahau Mimi ni Consigliere mtunza risiti mtaalamu wa hizi kazi sasa nimemdaka Kimafia amekufa kizembe kama Maghayo The Mongolian Savage steringi nishamaliza mchezo mapema.
Cheki hii aibu alivyotabiri kuhusu Mayele na huu uzi nimeutunza kwa Matumizi ya baadae Maarassmbuss wewe [emoji1787][emoji38]
Cc : Greatest Of All Time
View attachment 3471462
Sio kila siku ni ijumaaAta Pacome na K Aziz walivyofika walikua wakitokea sub ila baada ya muda mfupi ilikua balaa la mjini.
😆😆Walillahi-lhamdu huu uzi umetunzwa kama risiti. Na mimi pia nakazia Doumbia ni tapeli aturudishie hela yetu bila kumsahau kiungo konokono Lassine Kouma
😂😂Doumbia, Acua na Pacome, wanaweza tengeneza combination kali sana pale Yanga.
Muda tayari au bado?Huu uzi uwekwe kwenye kumbukumbu. Unaweza ukatusaidia siku za baadaye kama zile nyuzi pendwa za Mwasibu OKWIBOBAN SUNZU.
Mje watu wa UtoHuu nimeusave kwenye Folder ya risiti , huyu jamaa kashayakanyaga baadae zitarushwa humu ballistic missile za kutosha .
Ligi haijaisha bado weka akiba ya maneno JombiMje watu wa Uto
Kashafeli Yanga ndio maana wamempeleka Singida kwa mkopoLigi haijaisha bado weka akiba ya maneno Jombi
Weka source maana nimewasha data nowKashafeli Yanga ndio maana wamempeleka Singida kwa mkopo
Tafuta mkuu huko mitandaoni, wala sikupigi kambaWeka source maana nimewasha data now
Tafuta mkuu huko mitandaoni, wala sikupigi kamba
😂😂Mpaka nione kwanza