Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Wanasiasa wanasipidii kweli!
Kwani kuivunja ndio soluhu? Kuliko kuiboresha zaidi na iwe imara na kuleta faida kwa wakulima wa zao hilo na nchi pia katika kuongeza pato
===============
Mgombea Urais wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema chama chake kitaleta mageuzi makubwa kwenye sekta ya kilimo ikiwamo cha pamba endapo kitachaguliwa kuunda serikali.
Mgombea huyo aliyasema hayo jana Bariadi Mkoani Simiyu katika katika mkutano wa hadhara na wananchi akisisitiza nchi inahitaji mabadiliko makubwa.
Amesema ataivunja Bodi ya Pamba, kwa sababu imeshindwa kuleta wawekezaji wa maana kwenye sekta hiyo na badala yake imekuwa kichocheo cha walanguzi wanaoathiri soko la pamba.