zao la pamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mama Amefanya mageuzi kwenye zao la pamba jamii inanufaika

    "Mimi ni mkulima wa zao la pamba kwa muda mrefu, nikianza na kilimo cha hekari mbili hadi tatu. Naishukuru sana serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kutupa kipaumbele sisi wakulima wa pamba kupitia upatikanaji wa mbegu bora, dawa za kupulizia pamona na mitambo inayotusaidia katika shughulo za...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Doyo: Nikishika dola nitaivunja Bodi ya Pamba imekuwa kichocheo cha walanguzi wanaoathiri soko la pamba

    Wanasiasa wanasipidii kweli! Kwani kuivunja ndio soluhu? Kuliko kuiboresha zaidi na iwe imara na kuleta faida kwa wakulima wa zao hilo na nchi pia katika kuongeza pato =============== Mgombea Urais wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema chama chake kitaleta mageuzi makubwa kwenye sekta ya...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Luhaga mpina amvaa Bashe, Tuna changamoto ya mnunuzi mmoja katika zao la pamba, hii kesi haijaisha

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameendelea kuikosoa vikali Wizara ya Kilimo kwa kuruhusu mfumo wa mnunuzi mmoja katika ununuzi wa zao la pamba, akidai kuwa mfumo huo unaua ushindani na kushusha bei ya mazao ya wakulima. Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Mwandoya, Wilayani...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani

    Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025 kama ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM ilivyoelekeza. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa wa bei za pamba naomba anisaidie tafadhali

    Ndg mwenye uelewa wa bei za pamba kutoka mwaka 1993 hadi 2023 naomba msaada tafadhari
Back
Top Bottom