ukweliusemwekweupe
Member
- May 2, 2026
- 64
- 55
"Mimi ni mkulima wa zao la pamba kwa muda mrefu, nikianza na kilimo cha hekari mbili hadi tatu. Naishukuru sana serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kutupa kipaumbele sisi wakulima wa pamba kupitia upatikanaji wa mbegu bora, dawa za kupulizia pamona na mitambo inayotusaidia katika shughulo za kilimo," amesema Guyashi Singu, mkulima wa zao la pamba.
Guyashi ameongeza kuwa juhudi za Serikali zimeleta mabadiliko makubwa katika sekta ya kilimo cha pamba, ambapo wakulima wengi wameongeza uzalishaji na kupata matumaini mapya ya kuboresha maisha yao kupitia shughuli za kilimo.
Amesisitiza kuwa maboresho hayo yameongeza tija mashambani na kuwapa wakulima uwezo mkubwa zaidi wa kuendesha kilimo chenye manufaa ya kiuchumi kwa familia na jamii kwa ujumla.