Doyo: RC na DC wanapewa gari la Milioni 200 wanaenda wapi?, Miaka 52 tangu nizaliwe sijaona maji Handeni

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media leo Julai 29, 2026, anaeleza kuwa Kijijini kwao Handeni Tanga, kuna changamoto ya Maji kwa Miaka zaidi ya 52 sasa tangu azaliwe.

Aidha, Doyo ameeleza kuwa wakati anagombea nafasi ya Urais mwaka 2025 alikuwa anatamani kufanya mabadiliko kwa kuwawezesha wananchi kupata maendeleo, huku akihoji kwa nini Wakuu wa Mikoa na Wilaya kupewa gari ya Milioni 200 kufanya nini.

Ni maelekezo kwa maslai ya mafisadi wa biashara ya magari
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media leo Julai 29, 2026, anaeleza kuwa Kijijini kwao Handeni Tanga, kuna changamoto ya Maji kwa Miaka zaidi ya 52 sasa tangu azaliwe.

Aidha, Doyo ameeleza kuwa wakati anagombea nafasi ya Urais mwaka 2025 alikuwa anatamani kufanya mabadiliko kwa kuwawezesha wananchi kupata maendeleo, huku akihoji kwa nini Wakuu wa Mikoa na Wilaya kupewa gari ya Milioni 200 kufanya nini.
 
Hivi vyeo tulishavikataa kitambo tu kwenye Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba. Haya ni matumizi mabaya ya kodi zetu.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media leo Julai 29, 2026, anaeleza kuwa Kijijini kwao Handeni Tanga, kuna changamoto ya Maji kwa Miaka zaidi ya 52 sasa tangu azaliwe.

Aidha, Doyo ameeleza kuwa wakati anagombea nafasi ya Urais mwaka 2025 alikuwa anatamani kufanya mabadiliko kwa kuwawezesha wananchi kupata maendeleo, huku akihoji kwa nini Wakuu wa Mikoa na Wilaya kupewa gari ya Milioni 200 kufanya nini.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media leo Julai 29, 2026, anaeleza kuwa Kijijini kwao Handeni Tanga, kuna changamoto ya Maji kwa Miaka zaidi ya 52 sasa tangu azaliwe.

Aidha, Doyo ameeleza kuwa wakati anagombea nafasi ya Urais mwaka 2025 alikuwa anatamani kufanya mabadiliko kwa kuwawezesha wananchi kupata maendeleo, huku akihoji kwa nini Wakuu wa Mikoa na Wilaya kupewa gari ya Milioni 200 kufanya nini.
Mimi huwa nashindwa kuelewa ,inakuwaje kuna sehemu wanakosa maji wakati hata sisi wananchi tunaodunduliza tunaweza kuchimba visima na kutumia maji?

Hivi mbunge wa huko anashindwa kuchukua gari la kuchimba kisima akachimba kila kata na kujenga tenk kubwa?
 
Kuna hilo alafu kuna hili ambalo gari zimejaa sana barabaran zenye ving'ora na kwenye folen wenyewe hawakai kabisa utafikiri wao ndio wanaharaka sana kuwahi makazini kuliko wengine
 
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media leo Julai 29, 2026, anaeleza kuwa Kijijini kwao Handeni Tanga, kuna changamoto ya Maji kwa Miaka zaidi ya 52 sasa tangu azaliwe.

Aidha, Doyo ameeleza kuwa wakati anagombea nafasi ya Urais mwaka 2025 alikuwa anatamani kufanya mabadiliko kwa kuwawezesha wananchi kupata maendeleo, huku akihoji kwa nini Wakuu wa Mikoa na Wilaya kupewa gari ya Milioni 200 kufanya nini.
Doyo
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Hivyo vyama vingeunganisha nguvu tu na CCM maana unakuta vina sera nzuri ila sasa havina watu wala nguvu.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media leo Julai 29, 2026, anaeleza kuwa Kijijini kwao Handeni Tanga, kuna changamoto ya Maji kwa Miaka zaidi ya 52 sasa tangu azaliwe.

Aidha, Doyo ameeleza kuwa wakati anagombea nafasi ya Urais mwaka 2025 alikuwa anatamani kufanya mabadiliko kwa kuwawezesha wananchi kupata maendeleo, huku akihoji kwa nini Wakuu wa Mikoa na Wilaya kupewa gari ya Milioni 200 kufanya nini.
Nisiseme uongo.
Zile Prado na haya ma V8 yana raha yake.

Polepole hakukosea aliposema UNAIJUA VIETEEE WEWE?
 
halafu handeni ni one of the best places in tanzagiza pmj na korogwe, kuna kila kitu mito, milima mvua za kutosha lkn miaka 50 kwa mujibu wake hakuna maji, halafu wanasema wanatuonea wivu uchumi wetu unakuwa kwa kasi sana, nafikiri labda huwa wanaamisha uchumi wa ccm politburo ndiuyo unaokuwa kwa kasi ...
 
Hivi mbunge wa huko anashindwa kuchukua gari la kuchimba kisima akachimba kila kata na kujenga tenk kubwa?
Hilo sio jukumu la mbunge. Hii propaganda kwamba mbunge analeta maendele kwa staili unayosema hata magufuli aliitumia sana kuwaaminisha 'wajinga' kuwa wabunge wavyama pinzani ni kikwazo cha maendeleo. Kazi ya msingi ya mbunge ni kuwasemea wananchi. Kutekeleza miradi ya maendeleo ni jukumu la halmashauri ndizo zenye wataalam, na zinapokea fedha za maendeleo toka serikali kuu inayokusanya kodi, pamoja na tozo na vyanzo vingine vya mapato vya halmashauri.
Utasikia mtu analalsmika maji hakuna mbunge anafanya nini!- anza na diwani ambaye kila siku yuko pale halmashauri, anajua kiasi gani cha pesa zimepokelewa na mgawanyo wa miradi kwa kata na vijiji ukoje.
 
Swala la maendeleo ni la wakazi wa huko siyo lazima tutegemee serikali ituletee maendeleo wakati sisi wakazi ndiyo tunaathirika ,kama waarabu wanachimba visima misikitini ,kwanini na mbunge kupitia mfuko wa jimbo asiwe na program ya kuchimba visima kila kata? Maji ni muhimu sana na utatuzi wake ni mdogo sana ,ukipata Hammer Driller ukachimba visima vikubwa kuanzia 90m hadi 150m mbona unatatua kero za maji...Nini kinawashinda?

Kuna mambo siyo lazima usubiri serikali ,njia mbovu haipitiki kwanini wananchi msijiorganise kurekebesha? Maji hamna mnasubiri viongozi ambao hata Tea Bag ananunuliwa ndiyo atakuangalia wewe?
 
Huyu naye asituchoshe. Kwa nini asiongee na ccm kwenye vikao vyao vya ndani?
 
Back
Top Bottom