Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media leo Julai 29, 2026, anaeleza kuwa Kijijini kwao Handeni Tanga, kuna changamoto ya Maji kwa Miaka zaidi ya 52 sasa tangu azaliwe.
Aidha, Doyo ameeleza kuwa wakati anagombea nafasi ya Urais mwaka 2025 alikuwa anatamani kufanya mabadiliko kwa kuwawezesha wananchi kupata maendeleo, huku akihoji kwa nini Wakuu wa Mikoa na Wilaya kupewa gari ya Milioni 200 kufanya nini.
jama fala sana hiliSi yupo nao huko kwenye hilo Baraza lao la Vyama Shikizi vya Siasa, awaeleze
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media leo Julai 29, 2026, anaeleza kuwa Kijijini kwao Handeni Tanga, kuna changamoto ya Maji kwa Miaka zaidi ya 52 sasa tangu azaliwe.
Aidha, Doyo ameeleza kuwa wakati anagombea nafasi ya Urais mwaka 2025 alikuwa anatamani kufanya mabadiliko kwa kuwawezesha wananchi kupata maendeleo, huku akihoji kwa nini Wakuu wa Mikoa na Wilaya kupewa gari ya Milioni 200 kufanya nini.
Mimi huwa nashindwa kuelewa ,inakuwaje kuna sehemu wanakosa maji wakati hata sisi wananchi tunaodunduliza tunaweza kuchimba visima na kutumia maji?Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media leo Julai 29, 2026, anaeleza kuwa Kijijini kwao Handeni Tanga, kuna changamoto ya Maji kwa Miaka zaidi ya 52 sasa tangu azaliwe.
Aidha, Doyo ameeleza kuwa wakati anagombea nafasi ya Urais mwaka 2025 alikuwa anatamani kufanya mabadiliko kwa kuwawezesha wananchi kupata maendeleo, huku akihoji kwa nini Wakuu wa Mikoa na Wilaya kupewa gari ya Milioni 200 kufanya nini.
DoyoKatibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media leo Julai 29, 2026, anaeleza kuwa Kijijini kwao Handeni Tanga, kuna changamoto ya Maji kwa Miaka zaidi ya 52 sasa tangu azaliwe.
Aidha, Doyo ameeleza kuwa wakati anagombea nafasi ya Urais mwaka 2025 alikuwa anatamani kufanya mabadiliko kwa kuwawezesha wananchi kupata maendeleo, huku akihoji kwa nini Wakuu wa Mikoa na Wilaya kupewa gari ya Milioni 200 kufanya nini.
Nisiseme uongo.Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media leo Julai 29, 2026, anaeleza kuwa Kijijini kwao Handeni Tanga, kuna changamoto ya Maji kwa Miaka zaidi ya 52 sasa tangu azaliwe.
Aidha, Doyo ameeleza kuwa wakati anagombea nafasi ya Urais mwaka 2025 alikuwa anatamani kufanya mabadiliko kwa kuwawezesha wananchi kupata maendeleo, huku akihoji kwa nini Wakuu wa Mikoa na Wilaya kupewa gari ya Milioni 200 kufanya nini.
Hilo sio jukumu la mbunge. Hii propaganda kwamba mbunge analeta maendele kwa staili unayosema hata magufuli aliitumia sana kuwaaminisha 'wajinga' kuwa wabunge wavyama pinzani ni kikwazo cha maendeleo. Kazi ya msingi ya mbunge ni kuwasemea wananchi. Kutekeleza miradi ya maendeleo ni jukumu la halmashauri ndizo zenye wataalam, na zinapokea fedha za maendeleo toka serikali kuu inayokusanya kodi, pamoja na tozo na vyanzo vingine vya mapato vya halmashauri.Hivi mbunge wa huko anashindwa kuchukua gari la kuchimba kisima akachimba kila kata na kujenga tenk kubwa?
Swala la maendeleo ni la wakazi wa huko siyo lazima tutegemee serikali ituletee maendeleo wakati sisi wakazi ndiyo tunaathirika ,kama waarabu wanachimba visima misikitini ,kwanini na mbunge kupitia mfuko wa jimbo asiwe na program ya kuchimba visima kila kata? Maji ni muhimu sana na utatuzi wake ni mdogo sana ,ukipata Hammer Driller ukachimba visima vikubwa kuanzia 90m hadi 150m mbona unatatua kero za maji...Nini kinawashinda?Hilo sio jukumu la mbunge. Hii propaganda kwamba mbunge analeta maendele kwa staili unayosema hata magufuli aliitumia sana kuwaaminisha 'wajinga' kuwa wabunge wavyama pinzani ni kikwazo cha maendeleo. Kazi ya msingi ya mbunge ni kuwasemea wananchi. Kutekeleza miradi ya maendeleo ni jukumu la halmashauri ndizo zenye wataalam, na zinapokea fedha za maendeleo toka serikali kuu inayokusanya kodi, pamoja na tozo na vyanzo vingine vya mapato vya halmashauri.
Utasikia mtu analalsmika maji hakuna mbunge anafanya nini!- anza na diwani ambaye kila siku yuko pale halmashauri, anajua kiasi gani cha pesa zimepokelewa na mgawanyo wa miradi kwa kata na vijiji ukoje.