DP World amepata Bandari bila kupingwa

Kama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?
Ungana na mdudu na mwambulukuku uwende nao mahakamani.

Unangoja nini? Unaonesha unazijuwa kweli sheria, si mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…