DP World anapewa kazi ya kupakua na kupakia Makontena tu, sio Bandari yote ya Dar wala si nje ya Dar

Waambie waliokutuma wakagawe bandari za Zanzibar na sio Tanganyika
 

Narudia tena na tena hoja yangu kwamba "Miaka nenda rudi uchimbaji madini unafanywa na makampuni ya nje kwa mikataba ya aina ya IGA, je, nchi imepiga hatua gani kiuchumi".

Mategemeo hayo unayodai ni ndoto za alinacha.
 
Wanachukua nafasi ya ile kampuni ya Karamagi
Ndio. Wanachukua nafasi ya TICTS sababu ilikosa ufanisi. Sema watu wamepotoshwa na Wanaharakati. Marekani na Uingereza hawapendi kuona Afrika tukijikomboa. So ndo maana unaona mambo ni mengi. Waarabu na Wachina wakiingia Afrika Wazungu hawana chao. Ndo maana wanawachanganya watanzania ili Washindwe then aje apewe kibaraka mmoja. Utashitukia eti Lowassa kapewa bandari mtu ambaye hana uzoefu wala vifaa.
 
Kama wewe unavyopotosha hapa kwamba DP world ni watu wema?
Mkuu kila kitu kina ubaya wake na uzuri wake. Ila chenye uzuri mwingi kuliko ubaya hicho kinafaa kuliko chenye ubaya mwingi kuliko uzuri
 
Hizi ni propaganda. Suala hili linapindishwa na kupotoshwa sana, kutoka pandr zote- Nikiwa naaana ya walio Serikalini na vibaraka wao, pamoja na wawekezaji na vibaraka wao na isitoshe, wale wote wasiotutakia mema kama nchi! Kama watu weusi.

Yaani naanza kuogopa, na kuona vita kuu ya tatu ikitokea, kwa sababu ya Afrika kwa mara nyingine tena. Ni suala la muda, na kwa sababu Tanzania ipo na ni kama lango kuu mashariki mwa Afrika....kuenda kusini, kuenda magharibi na nchi jirani kwa Urahisi....niache akiba ya maneno, kuwa miaka 60 ijayo, mungu akinijalia, niridhie bandiko hili.

Nasema haya kwa sababu
Kutoka kwenye mkataba huu, kwa maana ya kuuvunja, kutawalazimu wenye mamlaka madarakani kufanya maamuzi magumu. Haijalishi iwe ni CCM au chama chechote kile Maamuzi hayo hayatawafurahisha, wa magharibi na waarabu Na ndio itakuwa sababu ya vita hizo...Nchi mama wa Dunia.

nimenena leo hii ya tarehe 15mwezi wa 6 mwaka 2023AD
 
Mngewapa DP world waendeshe bunge sio bandari. Maana bungeni wamejaa vilaza wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…