Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna mtu wa kuwapa Bandari yote. Wanacover sehemu TICTS walipotoka ila wao kwa ufanisi zaidi.Hilo ndo tulilotarajia, hao walitakiwa wapewe tender ya kufanya operations kama ilivyo TICTS na siyo kumilikishwa bandari, hilo haliwezekani.
Wote wanaosema Mkataba umesainiwa ni wakenya. Wote wanaosema DPWorld wamepewa bandari zote ni Wakenya, wanaksema DPWorld wamepewa bandari ya dar yote ni wakenyaHao waKenya gani wamepinga ebu wataje tuwanange.
Maana kila mtu anawalaumu bila kuwataja.
Ooh! Hapo ndo panakuchanganya. Huo ni mkataba wa Ushirikiano. Sio mkataba wa uwekezaji. Hata China tunamkataba nao wa Ushirikiano. Ajabu ni nini hapo? Mumejazwa upepo kumbe? Mbona huu mkataba hujalalamika? Mikataba ya Ushirikiano ipo mingi Tanzania inaingia. Itakua neno bandari ndo limekushitua. RelaxSoma hapo kwenye kifungu cha pili uone kama wameandika posa au mkatabaView attachment 2658248
Wacha inyeshe uone inapovuja.Salaam Wakuu,
Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu.
Kwahiyo TPA ataendelea na kazi ya kupakua Magari, Mafuta nk.
Pili DP World anakuja na Teknolojia ambayo itawezesha Mifumo ya TRA, TASAC, TPA isomane. Yaani mzigo wako ukifika unachukua hapo hapo hamna mambo Storage wala gharama zimezidi.
Hawa wanaopiga kelele ni watu waliokuwa wanategemea hela za storage hawa wenye bandari kavu. DP World yeye kwenye hatakuwa na mambo ya storage sababu hadi mzigo unafika unakuwa ushalipia kila kitu.
Nimefafanuliwa na Mwanasheria wa bandari baada ya kumtwanga swali.
Nimewapenda bure DP World.
Sasa hawa wanaopotosha wana dhamira gani?
Sema kuna wengine wanapinga sababu walishalishwa matango pori ukizingatia haya makubaliano ya awali yapo kwa lugha ya Kimombo.
Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna Mkataba umesainiwa wala hakina kitu kilicho chukuliwa. Hata huu Mkataba wa Mashirikiano ya Nchi kwa Nchi ambayo wanataka yawe na Ukomo nayo hayajatiwa saini.
Wanasiasa nao washapata sehemu ya kupepetea mdomo.
Natamani kuona Watanzania tukishikamana kwa manufaa ya Watoto wetu. Tuache kuishi kama zamani.
Sasa hivi TPA inapakua Kontena laki 6 kwa Mwaka. Ila DP World watapakua Makontena Mil 2 kwa Mwaka.
Sasa hivi baandali inachnagia pato la taifa kwa 35% lakini DP World wakianza Bandari ya taifa itachangia 67% katika Bajeti ya Tanzania
Hii itafanya Watanzania wapumue na mambo ya tozo. Nchi inatoza tozo hadi kwenye Miamala sababu hakuna vyanzo vya mapato vya kueleweka na Nchi lazima iendelee.
Ajabu ni kwamba Wanaoongoza kwa kuiponga DP World mitandaoni ni Wakenya sababu wanajua hii ni vita ya Kiuchumi. DP World wakianza bandari za Kenya hawana chao. Hata waliokuwa wanapinga bomba la Mafuta Mafuta Uganda kuja Tanzania ni Wakenya hadi wakaandamana Ulaya huko eti litaharibu Mazingira.
Watanzania tujitafakari na tujielewe.
Kila kitu kina mazuri na Mabaya, kwanini Wakenya wanaona Ubaya wa DP World tu?
Bila uzalendo tutaishia hapa hapa kulaumiana. Sasa hvi Mwarabu ndo mwenye hela ndo maana hata timu za Mpira za Uingereza anapewa Mwarabu. Hata Bandari zao wamempa Mwarabu lakini sisi wabongo Bandari tunataka eti tumpe Singa singa na Kanjibhai.
Tujaribu Waarabu japo miaka 5 tuone.
Mikataba ya Ushirikiano ipo mingi tu na haimanishi Mkataba ni kuuzwa kwa kitu. Kumbe bado elimu inahitajikaSoma hapo kwenye kifungu cha pili uone kama wameandika posa au mkatabaView attachment 2658248
Narudia tena na nakuomba uache kushupaza shingo kana kwamba unajua kila kitu. Hakuna popote ambapo kuna mkataba wa Bandari ambao umesainiwa au haujasainiwa. Kilichopo ni Mkataba wa Ushirikiano.Wacha inyeshe uone inapovuja.
Kadiri wanvyozidi kujieleza ndivyo wanazidi kijichanganya.
1. Mkataba umetaja Bandari ya Dar es Salaam wao wanasema siyo yote ni gati namba ngapi hadi ngapi. Mbona mkataba haujaspecify sasa. Tu naaminije unacho ongea tu bila maandishi. Profesa mbona ananiangusha sana na uprofesa wake aise.
2. Mkataba inasema ni Bandari zote za Tanzania Bara maziwa, mito na baharini. Yeye anasema Bandari ya Tanga, Bagamoyo na Mtwara hazipo kwenye makubaliano haya. Tunajuaje kama hazipo wakati mkataba haijaweka exception. Mbona mheshimiwa waziri anafanya haya mambo kama mtoto mdogo namna hii aise.
3. Mkataba mama unasema wazi kabisa hakuna kujitoa kwa namna yeyote ile, hata kama tutaingia vita na Dubai bado mkataba utaendelea kuexist. Waziri anasema tutajitoa. Tutakitoaje kwanini wasikiri tu mapungufu basi yarekebishwe.
Hawa wahuni ni kuendelea kuwakomalia kusema umwachie Mungu ni kuendelea kukubali kuonewa na kuibiwa. Ni either wakubali kubadili vifungu au waachane na huo Mkataba. Tuendelee kushika kamba no way back.
Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
Mkuu unajua mnaongelea haya mambo embu muwe basi mnajua hata mnaongelea nini? namna mnavyotetea mnaonekana kabisa hamjui nini mnaelewa mfano wa makosa nayoona wengi mnayafanya ni kuita geti badala ya gati ........... hapo tuu inaonekana kabisa wazungumzaji wengi hawajui bandari hata kidogo hata tofauti ya hayo maneno mawili hawajui ndipo unapata shaka sasa kwenye maelezo yafutayo ya utetezi je kweli tuna haja ya kuamini kuamini sasa haya maelezo.Salaam Wakuu,
Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu.
Kwahiyo TPA ataendelea na kazi ya kupakua Magari, Mafuta nk.
Pili DP World anakuja na Teknolojia ambayo itawezesha Mifumo ya TRA, TASAC, TPA isomane. Yaani mzigo wako ukifika unachukua hapo hapo hamna mambo Storage wala gharama zimezidi.
Hawa wanaopiga kelele ni watu waliokuwa wanategemea hela za storage hawa wenye bandari kavu. DP World yeye kwenye hatakuwa na mambo ya storage sababu hadi mzigo unafika unakuwa ushalipia kila kitu.
Nimefafanuliwa na Mwanasheria wa bandari baada ya kumtwanga swali.
Nimewapenda bure DP World.
Sasa hawa wanaopotosha wana dhamira gani?
Sema kuna wengine wanapinga sababu walishalishwa matango pori ukizingatia haya makubaliano ya awali yapo kwa lugha ya Kimombo.
Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna Mkataba umesainiwa wala hakina kitu kilicho chukuliwa. Hata huu Mkataba wa Mashirikiano ya Nchi kwa Nchi ambayo wanataka yawe na Ukomo nayo hayajatiwa saini.
Wanasiasa nao washapata sehemu ya kupepetea mdomo.
Natamani kuona Watanzania tukishikamana kwa manufaa ya Watoto wetu. Tuache kuishi kama zamani.
Sasa hivi TPA inapakua Kontena laki 6 kwa Mwaka. Ila DP World watapakua Makontena Mil 2 kwa Mwaka.
Sasa hivi baandali inachnagia pato la taifa kwa 35% lakini DP World wakianza Bandari ya taifa itachangia 67% katika Bajeti ya Tanzania
Hii itafanya Watanzania wapumue na mambo ya tozo. Nchi inatoza tozo hadi kwenye Miamala sababu hakuna vyanzo vya mapato vya kueleweka na Nchi lazima iendelee.
Ajabu ni kwamba Wanaoongoza kwa kuiponga DP World mitandaoni ni Wakenya sababu wanajua hii ni vita ya Kiuchumi. DP World wakianza bandari za Kenya hawana chao. Hata waliokuwa wanapinga bomba la Mafuta Mafuta Uganda kuja Tanzania ni Wakenya hadi wakaandamana Ulaya huko eti litaharibu Mazingira.
Watanzania tujitafakari na tujielewe.
Kila kitu kina mazuri na Mabaya, kwanini Wakenya wanaona Ubaya wa DP World tu?
Bila uzalendo tutaishia hapa hapa kulaumiana. Sasa hvi Mwarabu ndo mwenye hela ndo maana hata timu za Mpira za Uingereza anapewa Mwarabu. Hata Bandari zao wamempa Mwarabu lakini sisi wabongo Bandari tunataka eti tumpe Singa singa na Kanjibhai.
Tujaribu Waarabu japo miaka 5 tuone.
Kwani mnalipwa sh ngap na mimi nijisajili huko??Salaam Wakuu,

Salaam Wakuu,

Hii itafanya Watanzania wapumue na mambo ya tozo. Nchi inatoza tozo hadi kwenye Miamala sababu hakuna vyanzo vya mapato vya kueleweka na Nchi lazima iende

lee.

Karamagi, Kanji bai na Mombasa kwish nehiSalaam Wakuu,

Unatafuta utukanwe sioSalaam Wakuu,

Hao vichaa wenzako watakuelewa huo mkataba uwe kwa kiswahili.maana hata wao pamoja na ww hamuelewi chochote kwenye mkataba huo ndio maana kwa sababu na ww inakutatiza kuelewa ndio maana umeshauri hivyo na hutaki kuwaelewa wanaokusaidia unataka na ww ujifiche kwenye kundi la wanaojua sheria na kiingereza cha kisheria shauri yako.Ndo maana nimependekeza Mkataba uwekwe kwa kiswahili ili watu kama wewe wasiendelee kupotoshwa
Hivi Bandari yetu inachangia kiasi gani kwa mwaka? Maana hiyo asilimia 35% hatujui kiasi gani?Salaam Wakuu,