Vipi kuhusu ushuru wa magari utashuka au ndio yale yale ya kodi 110% ya bei ya kuagiza?
ushuru ni suala la TRA kwahiyo DP world naona hawatohusika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu ushuru wa magari utashuka au ndio yale yale ya kodi 110% ya bei ya kuagiza?
Swala la bandari ni la muungano sasa mbona Zanzibar haishiriki neema ya dp world.
Alipokuwepo TICTS mbona hamjasema vipi Zanzibar mbona TICTS haipo?Vipi kuhusu Zenji? Kuleni nchi waarabu, zama zenu hizi. Tumeshaanza kuona joto ya jiwe mitaani. Mandinga tunayaona na kanzu zenu.
Kuna kitu hujaelewa bado. Makubaliano ya mashirikiano hayana muda
Pili Hakuna mkataba wa Bandari haddi sasa.
Tatu DPW anapewa sehemu ya bandari ya Dar aiendeshe.
Nne, hapewi kitu kingine nje ya sehemu ya bandari ya Dar.
Sema wewe umesoma upotoshaji na ndio umeshikia bango kama watu wengine. Ila taratibu tutaelewana
Haya mambo ya Kisheria ni magumu sana. Hayasomwi kama Novel. Hapo juu wamekuambia ni Makubaliano ya Nchi na Nchi katika kuwekeza kwenye Bandari na usafirishaji Baharini. Nioneshe kitu Contract. Au agreement ndo umeita Contract? Sikilizeni wanasheria wetu wanachosema. Mtapotoshwa sana na Wakenya.
Tunawajuwa nyinyi, jioneeDP world wapewe majengo ya CCM miaka 5 tuone maendeleo ila sio Bandari
Kwasasa wewe ndiye mdini nambari moja. Uuzwaji wa bandari ni hatari sana
Mkuu:Nimekulia makuzi na madhira na maudhi ya muwekezaji hewa anaitwa Anger trust lmtd asie na ofisi wala anuani. Siwezi kuwa sehemu ya kuunga mkono wawekezaji kutoka bala asia daima dumu.
Mkuu:Mkuu, kwa sasa Bandari ndo inachangia pakubwa kwenye pato la taifa yaani 35%-37% ambayo ni Trilioni 7 kwa Mwaka. DP World matarajio ni kwamba bandari itaweza kuingiza Trilioni 26 kwa Mwaka ndo maana nikasema 97%.
Kama Trilioni 7 ni 35%) Je, Trilioni 26 itakuwa ni asilimia ngapi? Nimepiga hesabu hivyo nikapata 97% Makadirio.
MASAHIHISHO
Bandari inachangia 35% kwenye bajeti ya Tanzania na mategemeo ni ichangie 67% kwenye Bajeti
Anapakia na kupakua makontena MILELE!Salaam Wakuu,
Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu.
Kwahiyo TPA ataendelea na kazi ya kupakua Magari, Mafuta nk.
Pili DP World anakuja na Teknolojia ambayo itawezesha Mifumo ya TRA, TASAC, TPA isomane. Yaani mzigo wako ukifika unachukua hapo hapo hamna mambo Storage wala gharama zimezidi.
Hawa wanaopiga kelele ni watu waliokuwa wanategemea hela za storage hawa wenye bandari kavu. DP World yeye kwenye hatakuwa na mambo ya storage sababu hadi mzigo unafika unakuwa ushalipia kila kitu.
Nimefafanuliwa na Mwanasheria wa bandari baada ya kumtwanga swali.
Nimewapenda bure DP World.
Sasa hawa wanaopotosha wana dhamira gani?
Sema kuna wengine wanapinga sababu walishalishwa matango pori ukizingatia haya makubaliano ya awali yapo kwa lugha ya Kimombo.
Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna Mkataba umesainiwa wala hakina kitu kilicho chukuliwa. Hata huu Mkataba wa Mashirikiano ya Nchi kwa Nchi ambayo wanataka yawe na Ukomo nayo hayajatiwa saini.
Wanasiasa nao washapata sehemu ya kupepetea mdomo.
Natamani kuona Watanzania tukishikamana kwa manufaa ya Watoto wetu. Tuache kuishi kama zamani.
Sasa hivi TPA inapakua Kontena laki 6 kwa Mwaka. Ila DP World watapakua Makontena Mil 2 kwa Mwaka.
Sasa hivi baandali inachnagia pato la taifa kwa 35% lakini DP World wakianza Bandari ya taifa itachangia 67% katika Bajeti ya Tanzania
Hii itafanya Watanzania wapumue na mambo ya tozo. Nchi inatoza tozo hadi kwenye Miamala sababu hakuna vyanzo vya mapato vya kueleweka na Nchi lazima iendelee.
Ajabu ni kwamba Wanaoongoza kwa kuiponga DP World mitandaoni ni Wakenya sababu wanajua hii ni vita ya Kiuchumi. DP World wakianza bandari za Kenya hawana chao. Hata waliokuwa wanapinga bomba la Mafuta Mafuta Uganda kuja Tanzania ni Wakenya hadi wakaandamana Ulaya huko eti litaharibu Mazingira.
Watanzania tujitafakari na tujielewe.
Kila kitu kina mazuri na Mabaya, kwanini Wakenya wanaona Ubaya wa DP World tu?
Bila uzalendo tutaishia hapa hapa kulaumiana. Sasa hvi Mwarabu ndo mwenye hela ndo maana hata timu za Mpira za Uingereza anapewa Mwarabu. Hata Bandari zao wamempa Mwarabu lakini sisi wabongo Bandari tunataka eti tumpe Singa singa na Kanjibhai.
Tujaribu Waarabu japo miaka 5 tuone.
Kama unachosema ni kweli, Je! ni kwa nini mkataba haujawa specific kwa mambo hayo mpaka waanze kujieleza kwa maneno mengine lukuki kiasi hicho??Salaam Wakuu,

Ukweli ndio unaoniogopesha.Naomba nikutoe hofu Mkuu. Ni kwamba hujaujua ukweli.
Narudia, ukweli ndio unaonitia hofu.Ukweli ndo utakuweka huru na kukuondolea hiyo hofu.
Hapana, sijaaminishwa. Naelewa na ninajua fika, tumepigwa!. Hata kama sio bandari yote....bado mkataba huo unaonyesha minyororo inayounga hiyo Bandari, ni himaya ya hso DP. it is wrong! na kingine kinachouma zaidi ni matrilioni tuliyoyaweka. Yaani investment iliyowekwa na Serikali haitarudi mapema na kwa makusudio yote yaliyotolewa na bado vitukuu vyangu vitakua na madeni! Pamoja na, ilikuwa wakomboleweNajaribu kukuelewa kwani mtu aking'atwa na nyoka kila akiona jani anashituka. Mfano wewe umeaminishwa bandari yote inachukuliwa na hujaambiwa ukweli kwamba ni sehemu ili alokuwa anaendesha TICTS.
Tatizo ni kubwa mno! Naliona lilipoanzia na litakapoishia....ni ukoloni mamboleo.Umeona tatizo linapoanzia Mkuu?