MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Anayetakiwa kuwashirikisha ni nani waziri Mkuu au spika au waandishi wa habariLengo la mama ni zuri lakufanya bandari yetu ifanye kazi kwa manufaa ya watanzania wote na sisi wanainchi wakawaida tunaomba wale wenye profetiona zao za sheria washirikishwe kwa kiwango kikubwa kuepusha sintofahamu iliyotanda.
Duh! Sasa waliofuata hawakujifunza kutokana na hili na Bungee letu pia na Mwana Sheria wetu Mkuu ambao wengeni ni majaji. Na waandishi wetu wa habari ndio makajanjaHuo mkataba ni siri ya Mwinyi na hao waarabu. Nijuacho huwezi kukatiza karibu na maeneo yao utapotezwa mazima, watu katili, nchi ndani ya nchi
Extrovert
Miaka ya nyuma Loliondo ilipigiwa kelele lakini wapi.Duh! Sasa waliofuata hawakujifunza kutokana na hili na Bungee letu pia na Mwana Sheria wetu Mkuu ambao wengeni ni majaji. Na waandishi wetu wa habari ndio makajanja
😂😂😂 let's wait to see mkuu.Hii nchi ukiwa mgeni ni rahisi kufikiri kwamba hao DP World watakuwa msaada sana hapo bandarini ila kimsingi kwa ambao tuna uzoefu na shuhuda za mambo yanayotokeaga ni kwamba hapo itakuwa ni mfumo wa kubadilisha walaji tu.
Yani kundi lililokuwa linanufaika linaporwa tonge wanaingia wengine kula keki kupitia mkataba na DP World. Nina hakika bila huo mkataba kuvuja hii ishu ingepigwa kimya kimya tu ni kwamba kuna mtu hakupewa mgao wake akachomesha.
Zifanikiwe mara ngapi, umelala?Hila hazitafanikiwa hata kidogo