DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

Mifumo ya KPI inayoendesha private sector ndio mwarobaini kwa hili tatizo , watu wanaajiriwa kula mishahara ya bure tu ,mengine yashazeeka na kustaafu hayataki
Ndio hayo ya inefficiency ya hizo bandari na TPA

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Parapanda italia
 
Yaani unaacha kazi Serikalini na kuajiriwa automatically na private Company!?!

Yaani DP World vigezo vyao vya kuajiri, aina na wafanyakazi na Idadi yake ni sawasawa kabisa na TPA?
 
Apo kama hutaki kwenda Dp word....ujiandae kwenda bandari za masasi au namtumbo ukadili na wavuvi haramu..[emoji23]
 
Mimi kwa maoni yangu wakimaliza kubinafsisha TPA wafate Dart mwendokasi. Na yenyewe apewe muwekezaji mgeni

Waswahili hatuwezi kufanya kazi kwa ufanisi.

Tunapenda ajira kuliko majukumu ya ajira
Mimi naomba ibinafsishwe TANESCO
 
Kwanza utakuwa unafuga majini wewe!Shahada yenyewe uliyonayo ni miaka 1980s .Tukikupeleka kwenye Telecommunication towers za sikuhizi huna unachokijua .
Hakuna jipya linalokua gumu duniani.

Hao unaowaona wa zamani ndiyo waliokuletea hayo unayoyaona mapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…