DP World kuchukua Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini

Kuna eneo kubwa la kufundishia Farasi wa Polisi na farasi wenyewe hakuna hilo eneo linafaa kwa uwekezaji

Farasi waliokua hapo walipelekwa Chato kwenye Bustani ya Wanyama ya Mwendazake
 
Hata wakichukua kurasini yote sawa tu tunachotaka Uwekezaji uanze mara moja
 
Kama chuo kinapelekwa sehemu nyingine kuna shida gani? Kwani wanachukua kuondoka nalo ?
Huu ujinga unaosema Ni sawasawa na kusema hata MTU akitembea na mkeo kinyume na maumbile wewe @lordDenning hutojali maana huyo anayemfanyia mkeo ushenzi hataondoka na kinyeo Cha mkeo.
 
Maaskofu na Padri Slaa wanayo majibu ya maswali yako. Watumie huko, huku hutopata majibu zaidi ya kupoteza muda wako tu
 
Hao wameshaambiwa Watajengewa Misikiti akili zao zote zishafiringwa sio wao tena bali ni UTI tupu ndizo zinaongea
Hizo ndio hoja zenu mnazopenda kukimbilia kwani wakijenga sehemu ya kumuabudu Mungu kuna ubaya?
 
Serikali haiongozwi na matamko ya kishenzi shenzi huko kanisani badala ya kufundishana mambo ya kiroho mnaleta siasa pumbavu sana.
 
Ila Rais Samia kwa nini anakuwa hivi? Ameamua kuungana na wachache dhidi ya raia wote?
 
Mi naona Samia anataka ku prove right kuhusu uislam juu ya uharamu wa mwanamke kuwa mtawala lakini hii proof kwanini isiwe zanzibar??
 
Huyo aliyesema limechukuliwa kaweka uthibitisho kuwa limechukuliwa?
Na ndio hoja yangu ilipo. Ulipaswa kumpinga kwa sababu hatuna HGA na DPW. Ulivyojibu kama ulivyomjibu, inaashiria kwamba unakubali uwekezaji wa DPW kwa mahaba zaidi. Vinginevyo, ulitakiwa ujiridhishe kama HGA imetoa ufafanuzi kwa vipengele vya IGA vinavyolalamikiwa, kabla ya utekelezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…