DP World kuchukua Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini

DP World kuchukua Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini

Kweli samia umeamua kushupaza shingo? Sitasema tena juu ya hili ! KWA jiwe tulimshauri abadilike akashupaza shingo mpaka nikaandika hapa menemene tekel na persin!!!! Kwako mama samia sitaandika haya ila mpaka nione kweli dp wamepewa hizo exclusive rights ikitokea hivyo nitanawa mikono juu yako na sitakuwa na hatia juu yako nitakususa na kumuachia Mungu.
Siku hizi haiingii tena JF sijui km ataiona comment yako
 
Kwa hili sitavumilia nipo tayari nijichome moto hadharani kwaajili ya watanzia wenzangu, labda Dp world wakinipa mgao na mimi ndo ntakaa kimya

Bila hivyo ntajichoma moto hadharani
Hauna ujasiri huo mtanzania mwenzangu [emoji3] lbd km sio mtanzania halisi
 
Chuo kilijengwa kwa strategy ya ULINZI...Bandari imezuungukwa na Wizara nyeti...

Hii mpaka creche wanaelewa .....Immekwisha!!!
Bandari ndio mlango wa nchi. Tunawapa wageni funguo, milango ya Tanzania bila sisi kuwasimamia, kuwa na oversight. Madawa, silaha, wanyama, madini, watu watapitishwa jinsi DP World inavyotaka.
Hata kuchuku Twiga, Pundamilia , Simba wote . Kinana atakuwa mratibu.
 
Pia nasikia GENTA atauliwa sababu ni muongeaji sana.
 
Tamko la wenye Akili Kubwa duniani TEC hawajalisikia au ni Jeuri tu?
FB_IMG_1692263164566.jpg
 
Bandari ndio mlango wa nchi. Tunawapa wageni funguo, milango ya Tanzania bila sisi kuwasimamia, kuwa na oversight. Madawa, silaha, wanyama, madini, watu watapitishwa jinsi DP World inavyotaka.
Hata kuchuku Twiga, Pundamilia , Simba wote . Kinana atakuwa mratibu.
Nani kasema hawatasimamiwa?

Swisssport wapo pale airport mbona hujawahi kusema ni mlango wa nchi na ipo kampuni ya kigeni inafanya kazi?
 
Kwa hili sitavumilia nipo tayari nijichome moto hadharani kwaajili ya watanzia wenzangu, labda Dp world wakinipa mgao na mimi ndo ntakaa kimya

Bila hivyo ntajichoma moto hadharani
Aahaaaaa
 
Mambo ya mkataba yameanza utekelezaji haraka sana, huku mipango ikianza kufanyika Ili ndugu zetu DP world waanze kufanya kazi mara moja.

Sijui mambo ya Mikataba, lakini DP world katika mkataba wao watachukua pia Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini Kinachosimamiwa na kamishna Msaidizi Mambo Sasa.
Sijajua kwanini serikali haitagazi hatua mbalimbali zinazoendelea za utekelezaji wa mkataba huu , ambao Umekuwa ukipingwa Kwa nguvu na watu wanna, Mwabukusi, Slaa, Padri kitima na Mdude.

Wataalamu Wa serikali na wawakilishi wa DP world walitembelea maeneo ya chuo Cha Polisi Kurasini na kufanya na kuchua vipimo vya mipaka, huku dp world ikijiandaa kulipa fidia zote za uhamishaji wa chuo hicho Cha jeshi.

Jingine linaloendelea , ambalo silijui rasmi. Ni kuwa DP world ataingiza magari zaidi ya 2000 yaani maroli Kwa ajili ya kisafirisha mizigo nje ya nchi, inavyosemekana DP world ndio atakuwa transporter pekee wa kisafirisha mizigo nje ya nchi, na watanzania watabaki Tanzania.

Hizi ni habari zinaukweli lakini nashangaa kwanini Serikali ya Chama Tawala haitoi maendeleo ya utekelezaji wa mradi huu ambao unaendelea kimya kimya kama alivyosema Mangwea "KIMYA KIMYA"
kwani ni la babako au la babu yako, unawashwa na nini, tuliza hayo matako yako kafanye mambo yako. Iache serikali ifanye shughuli zake
 
Back
Top Bottom