DP World kuchukua Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini

DP World kuchukua Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini

Jingine linaloendelea , ambalo silijui rasmi. Ni kuwa DP world ataingiza magari zaidi ya 2000 yaani maroli Kwa ajili ya kisafirisha mizigo nje ya nchi, inavyosemekana DP world ndio atakuwa transporter pekee wa kisafirisha mizigo nje ya nchi, na watanzania watabaki Tanzania.

Inasemekana hauna uhakikia kumbe
 
Kweli samia umeamua kushupaza shingo? Sitasema tena juu ya hili ! KWA jiwe tulimshauri abadilike akashupaza shingo mpaka nikaandika hapa menemene tekel na persin!!!! Kwako mama samia sitaandika haya ila mpaka nione kweli dp wamepewa hizo exclusive rights ikitokea hivyo nitanawa mikono juu yako na sitakuwa na hatia juu yako nitakususa na kumuachia Mungu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeshawahi Kumiliki Akili Timamu hata kidogo tu?
Hebu tutajie wewe nani anamiliki akili.
Ingekuwa akili inamilikiwa basi Matajiri wangemiliki akili zote na masikini wasingekuwa na uwezo wa kumiliki
 
Unajua eneo la ikulu ya Magogoni ulikuwaga msikiti?
Wenye eneo walilitoa kwa hiari yao hawakulazimishwa Mbumbumbu wewe kwa hio hatutaki mnalazimisha alafu unaleta habari za unajua? Kichwa chako punguani kabisa Mbumbumbu
 
Bora wachukue tu maana kijografia ...tulipo leo mzigo ukishuka bandarini mara unaambia uende mbagala mara kigamboni mara buza wafanye hivyo mzigo ushuke tupate siku iyoyoo Kuna ICD mpaka mwenge. Wakati kurasini ni wehemu ya fursa ...ni swala.la.kufikiri tu

Sasa wenye bandari uongea hivi sio wale o o o wakati bandari yenyewe hawaijui
 
Kazi kazi tu.....

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Back
Top Bottom