JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Wew nguru we mama Kama ana upiga mwingi akaupige kwenye ki cimi chako na sio kwenye bandari yetuHiyo shida yako haihusiani na huu mkataba wa maendeleo. Kafunguwe uzi unaohusu shida yako, tutakuja kuchangia. Usituchanganyie mada.
Hapa tunaongelea nkataba baina ya Nchi mbili kama ulivyo, tena nenda kafute uongo wako wa kusema huu ni nkataba wa kampuni.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Aisee!Hii siyo sawa kutumia lugha ya matusi.Wew nguru we mama Kama ana upiga mwingi akaupige kwenye ki cimi chako na sio kwenye bandari yetu
Una akili ndogoHow , toa vigezo na ubaya wa mkataba huu usiongee ki ushabik tuu, watu wakokazini.
Dubai ni nchi ajuza?Huu mkataba siyo wa kampuni, usome hata mwanzo wake tu, unaonesha kuwa ni mkataba wa nchi na nchi.
Wacha kusema uongo.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hujasoma mkataba halafu unakiri siyo mwandishi mzuri, still unataka tuchangie mada!! Huu ni upumbavu tuHello JF Members....
Sijausoma mkataba (nina aleji na maelezo marefu so nitapita humu kny hii topic kwa kusikia maneno ya watu wakiuuzungumzia... π π π),
Binafsi SIUFAGILII...
1. Nimeona moja ya reason ni kuwa bandari yetu ilikua na uozo mwingi ilikua haileti tija kwa taifa, hiii sio enough kwa sisi wengine kuingia into such contract, sababu ukiziweka kwenye lens sectors/offices nyingi nchini zina perform below standard level, uozo ni mwingi Je tukianza kuingia kwenye mikataba na nchi nyingine hamuoni kuwa hii inamaanisha itabidi tuingie mikataba na sectors zote nchini, that means ultimately ni nchi yetu kutawaliwa na nchi nyingine, unless hili ndilo mnalitaka kutawaliwa na nchi nyingine kisa mmeshindwa kujiendesha na kuwa na confidence ya kujiletea maendeleo wenyewe kama taifa.
2. Kama ni uozo kiutendaji kwa nini tusi deal specific na uozo?,badala ya kuingia kwenye deal kubwa kwa taifa kusolve minor issue kama tu administration bandarini? Kwa nini kutumia rungu kubwa kutaka kumuua inzi??? Namaanisha kwa nini kuingia mkataba mkubwa nchini kwa ishu ndogo tu kama UTENDAJI? Kuuza nchi yetu was this effective possible solution kwa uozo nchini? hell no sababu hata hao walionunua nchi hujui kama hawataoza baada ya kipindi,namaanisha mkataba una ambiguity in long term na ambiguity peke yake inamaanisha haikuwa effective solution to our problem.
Again uozo upo karibu sehemu zote nchini, kama bandari mme identify ina uozo mwingi kwa nini msitumie bandari hio hio kama model kujenga framework kuondoa uozo katika bandari na sectors zote nchini?,naona mmeweza ku identify tatizo ila mmeshindwa kuja na simple but effective solution, characteristic of incompetent leaders!. Kushindwa kutumia creativity?critical thinking for solutions ambazo hazina ambiguity in long term.
Sikatai mkataba una immediate benefits but was this only EFFECTIVE solution?,Kwa nini hakukua na analysis ya all possible solutions na kuja ambayo haiko costly in long term kwa watanzania? sawa mtaniambia costs kwa watanzania kwa sasa na baadae hazijulikani ,sawa ila kama costs HAMZIJUI is this not enough reason kuuona huu mkataba hautufai?.
Mimi sina ufahamu na hii DP World, nasikia ina operate nchi nyingine, je tutatumia kigezo wao kuwa successful nchi nyingine kama kigezo kuwa watakuwa successful nchini kwetu? je hizo nchi nyingine hazina factors nyingine zinazowafavour wao kuwa successful ambazo kwetu hamna au baadae hazitakuwepo??, ningependa kujua kwenye hii topic,nielimisheni kama hizi nchi wanazo operate zina profile kama letu na wameweza kuwa successful particularly wame contribute nini ili tufanye comparison.
At least miaka 100 ya wao ku operate kwenye least developed country na jinsi walivyo contribute πππ .Ningekuwa conviced kama bandari yetu ingekuwa imeshikilia 75% ya uchumi wetu na kuna demonstratable factors zinazoonyesha kutakuwa na maendeleo zaidi ya hapo au baada ya miaka fulani tutakua tumefikia uchumi fulani sio na maendeleo kidogo,viajira vichache kila mwaka ndio i justify mkataba usio na kikomo.
At least kungekuwa na community participation. watanzania tuu udiscuss huu mkataba kabla ya kuwa signed. Tungekua tunajua,tunadiscuss huu mkataba kabla haujasainiwa kusingekuwa na confusion kama sasa hivi. Sijui kwa nini serikali iliona mkataba huu ambao ni mkubwa na wa kudumu sio swala la watanzania. Kwanza tungediscuss watanzania wangeweza kuna na possible alternatives na kila mtu kuwa happy.
Sio mwandishi mzuri, sorry.
Wewe uliyeusoma na ni mwandishi mzuri mbona hujaandika mada yako sasa??, embu chukua time hukoHujasoma mkataba halafu unakiri siyo mwandishi mzuri, still unataka tuchangie mada!! Huu ni upumbavu tu
Soma thread yangu hii hapa:Wewe uliyeusoma na ni mwandishi mzuri mbona hujaandika mada yako sasa??, embu chukua time huko
Tatizo la vijana mnakula lishe duni halafu mnavutia bangi chooni. Sasa umeandika nini hicho? Mnatujazia server bure kwa pumba zenuHello JF Members....
Sijausoma mkataba (nina aleji na maelezo marefu so nitapita humu kny hii topic kwa kusikia maneno ya watu wakiuuzungumzia... π π π),
Binafsi SIUFAGILII...
1. Nimeona moja ya reason ni kuwa bandari yetu ilikua na uozo mwingi ilikua haileti tija kwa taifa, hiii sio enough kwa sisi wengine kuingia into such contract, sababu ukiziweka kwenye lens sectors/offices nyingi nchini zina perform below standard level, uozo ni mwingi Je tukianza kuingia kwenye mikataba na nchi nyingine hamuoni kuwa hii inamaanisha itabidi tuingie mikataba na sectors zote nchini, that means ultimately ni nchi yetu kutawaliwa na nchi nyingine, unless hili ndilo mnalitaka kutawaliwa na nchi nyingine kisa mmeshindwa kujiendesha na kuwa na confidence ya kujiletea maendeleo wenyewe kama taifa.
2. Kama ni uozo kiutendaji kwa nini tusi deal specific na uozo?,badala ya kuingia kwenye deal kubwa kwa taifa kusolve minor issue kama tu administration bandarini? Kwa nini kutumia rungu kubwa kutaka kumuua inzi??? Namaanisha kwa nini kuingia mkataba mkubwa nchini kwa ishu ndogo tu kama UTENDAJI? Kuuza nchi yetu was this effective possible solution kwa uozo nchini? hell no sababu hata hao walionunua nchi hujui kama hawataoza baada ya kipindi,namaanisha mkataba una ambiguity in long term na ambiguity peke yake inamaanisha haikuwa effective solution to our problem.
Again uozo upo karibu sehemu zote nchini, kama bandari mme identify ina uozo mwingi kwa nini msitumie bandari hio hio kama model kujenga framework kuondoa uozo katika bandari na sectors zote nchini?,naona mmeweza ku identify tatizo ila mmeshindwa kuja na simple but effective solution, characteristic of incompetent leaders!. Kushindwa kutumia creativity?critical thinking for solutions ambazo hazina ambiguity in long term.
Sikatai mkataba una immediate benefits but was this only EFFECTIVE solution?,Kwa nini hakukua na analysis ya all possible solutions na kuja ambayo haiko costly in long term kwa watanzania? sawa mtaniambia costs kwa watanzania kwa sasa na baadae hazijulikani ,sawa ila kama costs HAMZIJUI is this not enough reason kuuona huu mkataba hautufai?.
Mimi sina ufahamu na hii DP World, nasikia ina operate nchi nyingine, je tutatumia kigezo wao kuwa successful nchi nyingine kama kigezo kuwa watakuwa successful nchini kwetu? je hizo nchi nyingine hazina factors nyingine zinazowafavour wao kuwa successful ambazo kwetu hamna au baadae hazitakuwepo??, ningependa kujua kwenye hii topic,nielimisheni kama hizi nchi wanazo operate zina profile kama letu na wameweza kuwa successful particularly wame contribute nini ili tufanye comparison.
At least miaka 100 ya wao ku operate kwenye least developed country na jinsi walivyo contribute πππ .Ningekuwa conviced kama bandari yetu ingekuwa imeshikilia 75% ya uchumi wetu na kuna demonstratable factors zinazoonyesha kutakuwa na maendeleo zaidi ya hapo au baada ya miaka fulani tutakua tumefikia uchumi fulani sio na maendeleo kidogo,viajira vichache kila mwaka ndio i justify mkataba usio na kikomo.
At least kungekuwa na community participation. watanzania tuu udiscuss huu mkataba kabla ya kuwa signed. Tungekua tunajua,tunadiscuss huu mkataba kabla haujasainiwa kusingekuwa na confusion kama sasa hivi. Sijui kwa nini serikali iliona mkataba huu ambao ni mkubwa na wa kudumu sio swala la watanzania. Kwanza tungediscuss watanzania wangeweza kuna na possible alternatives na kila mtu kuwa happy.
Sio mwandishi mzuri, sorry.
Hujajadili mkataba kama ulivyo kwenye contents, hata wewe umeandika kutokana na mihemuko yako , na Kisha kwenye mada yako huja prove lolote kama umeusoma mkataba. simply chukua time huko.Soma thread yangu hii hapa:
Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World
Yaani toka kelele hizi ziwepo Rais hajaongea Jambo lolote .Naanza kusaini huyu Samia yupo kwenye kuuzwa Kwa BANDARI hizi.Anahusika 200.% yeye ndio kaingia mkataba,mbarawa ni mpewa amri tuwww.jamiiforums.com
Tatizo la vijana mnakula lishe duni halafu mnavutia bangi chooni. Sasa umeandika nini hicho? Mnatujazia server bure kwa pumba zenu
Tufanye mkataba,kama tuliofanya na wawejezaji wa NMB,TCC,TBL,Hello JF Members....
Sijausoma mkataba (nina aleji na maelezo marefu so nitapita humu kny hii topic kwa kusikia maneno ya watu wakiuuzungumzia... π π π),
Binafsi SIUFAGILII...
1. Nimeona moja ya reason ni kuwa bandari yetu ilikua na uozo mwingi ilikua haileti tija kwa taifa, hiii sio enough kwa sisi wengine kuingia into such contract, sababu ukiziweka kwenye lens sectors/offices nyingi nchini zina perform below standard level, uozo ni mwingi Je tukianza kuingia kwenye mikataba na nchi nyingine hamuoni kuwa hii inamaanisha itabidi tuingie mikataba na sectors zote nchini, that means ultimately ni nchi yetu kutawaliwa na nchi nyingine, unless hili ndilo mnalitaka kutawaliwa na nchi nyingine kisa mmeshindwa kujiendesha na kuwa na confidence ya kujiletea maendeleo wenyewe kama taifa.
2. Kama ni uozo kiutendaji kwa nini tusi deal specific na uozo?,badala ya kuingia kwenye deal kubwa kwa taifa kusolve minor issue kama tu administration bandarini? Kwa nini kutumia rungu kubwa kutaka kumuua inzi??? Namaanisha kwa nini kuingia mkataba mkubwa nchini kwa ishu ndogo tu kama UTENDAJI? Kuuza nchi yetu was this effective possible solution kwa uozo nchini? hell no sababu hata hao walionunua nchi hujui kama hawataoza baada ya kipindi,namaanisha mkataba una ambiguity in long term na ambiguity peke yake inamaanisha haikuwa effective solution to our problem.
Again uozo upo karibu sehemu zote nchini, kama bandari mme identify ina uozo mwingi kwa nini msitumie bandari hio hio kama model kujenga framework kuondoa uozo katika bandari na sectors zote nchini?,naona mmeweza ku identify tatizo ila mmeshindwa kuja na simple but effective solution, characteristic of incompetent leaders!. Kushindwa kutumia creativity?critical thinking for solutions ambazo hazina ambiguity in long term.
Sikatai mkataba una immediate benefits but was this only EFFECTIVE solution?,Kwa nini hakukua na analysis ya all possible solutions na kuja ambayo haiko costly in long term kwa watanzania? sawa mtaniambia costs kwa watanzania kwa sasa na baadae hazijulikani ,sawa ila kama costs HAMZIJUI is this not enough reason kuuona huu mkataba hautufai?.
Mimi sina ufahamu na hii DP World, nasikia ina operate nchi nyingine, je tutatumia kigezo wao kuwa successful nchi nyingine kama kigezo kuwa watakuwa successful nchini kwetu? je hizo nchi nyingine hazina factors nyingine zinazowafavour wao kuwa successful ambazo kwetu hamna au baadae hazitakuwepo??, ningependa kujua kwenye hii topic,nielimisheni kama hizi nchi wanazo operate zina profile kama letu na wameweza kuwa successful particularly wame contribute nini ili tufanye comparison.
At least miaka 100 ya wao ku operate kwenye least developed country na jinsi walivyo contribute πππ .Ningekuwa conviced kama bandari yetu ingekuwa imeshikilia 75% ya uchumi wetu na kuna demonstratable factors zinazoonyesha kutakuwa na maendeleo zaidi ya hapo au baada ya miaka fulani tutakua tumefikia uchumi fulani sio na maendeleo kidogo,viajira vichache kila mwaka ndio i justify mkataba usio na kikomo.
At least kungekuwa na community participation. watanzania tuu udiscuss huu mkataba kabla ya kuwa signed. Tungekua tunajua,tunadiscuss huu mkataba kabla haujasainiwa kusingekuwa na confusion kama sasa hivi. Sijui kwa nini serikali iliona mkataba huu ambao ni mkubwa na wa kudumu sio swala la watanzania. Kwanza tungediscuss watanzania wangeweza kuna na possible alternatives na kila mtu kuwa happy.
Sio mwandishi mzuri, sorry.
umeeleza kwa kirefu mno sikuweza kusoma zaidi ya paragraph ya pili.Hello JF Members....