DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

DP World unakosea kusema wapo successful nchi nyingine, nchi nyingi walizowekeza wamefunguliwa kesi mahakamani, google ujionee.

Wale waarabu wameshirikiana na wanasiasa wetu wenye njaa kutupeleka utumwani.
 
Nakubaliana na wewe tumeuzwa otherwise sioni sababu uingie mkataba mkubwa kama huu na kampuni ambayo tayari profile lake Lina mashaka.
 
Hao maaskofu tunafahamu kuwa ndiyo wachochezi wa machafuko, hata Rwanda mauaji ya kimbari walianzisha kwa uchochezi wao. Bila kafara za damu hakuna uaskofu.

Mkataba huo hapo juu, post #1, hujuwi Kusoma Kiswahili?
 
Umebwabwaja na kuhiroroja mengi lakini hujaonesha tatizo la mkataba wa maendeleo uliosainiwa baina ya serikali tya Tanzania nanDubai ni lipi.

Mkataba upo hapa post #1 juu hapo.

Tafadhali nukuu kifungu tuelimishane. Tusilishane matango pori.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Hao unajidai "wasomi wakubwa", wamelifsnyia nini taifa hili kimaendeleo mpaka leo?

Mkataba upo hapa post #1 juu hapo.

Tafadhali nukuu kifungu tuelimishane. Tusilishane matango pori.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Huuu mkataba n mrefu sana sina hakika kama viongozi wetu wamewez kuupitia wote
 
Huuu mkataba n mrefu sana sina hakika kama viongozi wetu wamewez kuupitia wote
Wanasheria wetu wameutengeza na viongozi wameupitia wote, ni mkataba mfupi sana ukilinganisha na mingine.

Usiwe mvivu kusoma.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa
 
Walianza na kusema Bandari zote zimeuzwa. Tukawauliza kwa mujibu wa kipengele kipi cha mkataba ? Wameshindwa kutuonesha hicho kipengele

Wakaja na Mwarabu kapewa Bandari zote bure kabisa. Tukawauliza kupengele kipi cha mkataba kimesema hayo wameshindwa kutuonesha hicho kipengele

Wakasema mwarabu kapewa bandari zote milele bila ukomo. Tukawauliza kipengele kipi cha mkataba kinasema mwarabu kapewa Bandari zote bila ukomo wakashindwa kutuonesha

Sasa wamekuja na santuli mpya kuwa Mwanasheria Mkuu yuko kimya hasemi chochote kuhusu mkataba! Tunawasubiria santuli hii ikiisha watakuja na maneno gani kesho

Poleni sana pingapinga fc!!

Lord Denning
Songea, Tanzania
 
Wewe kweli boksi, kwa hiyo unafikri hao Waarabu ni wajinga wangeweka wazi hivyo kipengele kwamba Tanzania inatoa bandari zote kwa DP World ila hata wakina Babu Tale, Kibajaji na Musukuma wang'amue?!
Kwa hiyo unakubali kuwa hamna hoja?
 
Wewe kweli boksi, kwa hiyo unafikri hao Waarabu ni wajinga wangeweka wazi hivyo kipengele kwamba Tanzania inatoa bandari zote kwa DP World ila hata wakina Babu Tale, Kibajaji na Musukuma wang'amue?!
Huyu boya anashabikia lakini hajui hata nini kinaendelea anasumbuliwa na udini pekee
 
Ni HASARA mzazi kusomesha mtoto na baada ya kumaliza masomo yake,

Mzazi unakuja kusikia mwanao ameungana na wasaliti kuifisadi nchi.

Hilo nalo ni baa kubwa na kujishibisha upepo.
 
Ni HASARA mzazi kusomesha mtoto na baada ya kumaliza masomo yake,

Mzazi unakuja kusikia mwanao ameungana na wasaliti kuifisadi nchi.

Hilo nalo ni baa kubwa na kujishibisha upepo.
Wasaliti gani? Wamefisadi nini?
 
Wewe ujuae tuambie. DP World wamepewa mkataba wa muda gani?

Usilete ngonjera za Mikataba gani, toa jibu direct.

Lumumba imekosa vijana jeuri wanaojenga hoja. Badala yake wamebaki viroja wa kuchamba.

Kwenye maelezo yako hayo yasiyo na mantiki ungesema 'Walisema Mkataba ni wa Milele, lakini kifungu fulani kinaeleza bayana kuwa mkataba ni wa Miaka kadhaa.

Acha kutetea upuuzi usioufahamu.
 
Je ni kipengele kipi kinachoonesha ukomo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…