DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

Naunga Mkono hoja. Nadhani mamlaka zina tamani sana kujua aliyempa huu Mkataba Maria Sarungi.
 
JF wewe FaizaFoxy, siyo tu ni mwenyeji, michango yako kwenye bandiko, zimekuwa na uzito wenye heshima kubwa. Lakini, lakini, lakini hili la bandari umepooza na jibu unalo mwenyewe. Jibu unalo mwenyewe kwani hujibu hoja kabisa.

Usiku mwema

Usiwache mada na kunianza mimi, mkataba wa IGA huo hapo pot #1, tuambie una tatizo lipi?
 
Mkataba ukishafika bungeni unakuwa ni kwa wananchi wote, hakuna kilichovuja wala kuvujishwa.
 
Mbona hujatuwekea hata kifungu kimoja kilicho kibaya?

Mkataba huo hapo post #1 upo wa Kiswahili na Kingereza, tuwekee kifungu unachoona wewe kibaya, tuone kama hakijibiwi na mkataba wenyewe wa IGA.
 
Maria ana akili sana sio mjinga ni dada la shoka
Msijidanganye wala msidanganye watu, Maria kama aliuleta kauchukuwa bungeni, mkataba ukishapelekwa bungeni unakuwa huru kwa yeyote.

Huo hapo juu, mimi sikuutowa kwa Maria, semeni nyinyi una tatizo lipi?
 
Mkataba huo tunao toka 2022 kwa taarifa yako , kila akifanyacho tunacho, kila alipo tupo kama kawaida tuliweza kwa magu ije kua yeye! Kalaghabaho
 
Mkataba huo tunao toka 2022 kwa taarifa yako , kila akifanyacho tunacho, kila alipo tupo kama kawaida tuliweza kwa magu ije kua yeye! Kalaghabaho
Hata uwe nao toka 2000. Huo hapo juu, tuoneshe tatizo nini? Wacha porojo la kutufundisha tuliouweka hapo.. Wewe sema tatizo lake nini.
 
Hata uwe nao toka 2000. Huo hapo juu, tuoneshe tatizo nini? Wacha porojo la kutufundisha tuliouweka hapo.. Wewe sema tatizo lake nini.

Hasa kama haujui hata matatizo ya huo mkataba unapata nguvu wapi ya kuhororojokwa?
 
Usiwache mada na kunianza mimi, mkataba wa IGA huo hapo pot #1, tuambie una tatizo lipi?
Si kawaida yangu kujadili nje ya mada. Nimetoa tu angalizo jinsi ambavyo umekuwa ukichangia kwenye suala la IGA tofauti na mwenendo wako wa kujadili humu JF. Umekuwa ukishambulia wachangiaji wenye hoja tofauti na wewe kwa lugha na maneno yasiyo na staha.

Kuhusu vifungu batili vya IGA, nimevijadili kwa kina humu JF, ikiwa ni pamoja katika bandiko zako ulizoanzisha kuutetea. Kwa kuwa huo mkataba umefikishwa mahakamani, siyo busara kuendeleza majadiliano
 
sasa mbona huoneshi kifungu cha mauziano wala cha bei iliyuzwa?

Kama huelewi Kingereza, nenda post namba 1 ipo tafsiri ya Kiswahili.
 
Upo uzi wenye mkataba, haya sma shida yako nini kwenye mkataba wa IGA? Wachana na mimi binafsi.
 
Huwa hamelewi mnachokisoma au ndio walewale?
 
Mkataba huo hapo, post namba 1. Tuoneshe Lussu wapi aliuongelea na kifungu kipi alikinukuu kuwa ni kibovu?

Ukishindwa ujuwe wewe ni muongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…