DP WORLD: Uliza swali lolote kuhusu Mkataba wa Tanzania na Dubai kuhusu Bandari

JumaKilumbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2022
Posts
432
Reaction score
507
Wakuu, Sabalkheir na Eid Mubarak!
Sakata letu la Bandari limechukua taswira tofauti tofauti mitandaoni, wengine wakisema “Bandari imeuzwa” wengine wakilalamikia Mkataba, wengine wakipotosha, basi alimradi tafrani.

Lengo la uzi huu ni kuweka wazi na kwa ukweli kuhusu Mkataba huu. Kwa dhamira ya kutenganisha PUMBA na MCHELE.

Karibuni.
 
Mnaonaje mkienda kuwekeza Zanzibar badala ya Tanzania bara.
 
Je mali zilikokutwa bandarini zimethaminishwa kwa kiasi gan na zitalipwaje?
 
Hii ni hela ya kuhonga watanzania wakati wa Uchaguzi 2025
 
Nataka kujua majina ya viongozi wote waliosapoti DPW kuchukua badari za Tanzania kwa majina yao matatu.
 
Leo nani yuko zamu kujibu ni Maulid Kitenge au Gerald hando au zembwela?
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
ni mpaka pale shughuli za bandari zitakapo isha....
Maana yake bahari ikikauka...
Sasa tujiulize bahari itakauka lini...?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Umekuja huku kudesa?
 
Je kuna wataalam wa sheria na mikataba wako tayari hapa kwa ajili ya kujibu maswali na uchambuzi wa hoja ama ni sisi wenyewe mabush laywer?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mkuu unacheka tena...
Yaani wajukuu na vizazi vijavyo watatushangaa sana...
We fikiri eti haturuhusiwi kuuvunja huu mkataba kwa namna yoyote ile... Na hata tukienda mahakamani hatuwezi kushinda kesi kwakuwa tumekubaliana hakuna kuvunja..
Na aliyesaini ni boss mkuu....
Hatuwezi kushinda hii kesi... Labda kampuni ya DP World ife kwanza..
 
Una qualifications gani za kujibu maswali ya hoja hii?
 
Leo nani yuko zamu kujibu ni Maulid Kitenge au Gerald hando au zembwela?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili kuikomesha ujinga wao inatakiwa tuwasaidie li redio lako (hakuna kusikiliza) wala ku' view chaneli zao U,tube.



Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hoja zimwtolewa Jana na prof Shivji kubwa mkataba Tz km nchi inaelezwa inawajibu tu huku DP W WAO wanahaki ambayo Tz hatujawekewa
Imesemwa juu ya ukimya kwenye mgawanyo wa hisa na pia amezungumzia suala la ajila kupotezwa bandari na jingine ni suala la kutunyima fursa kuendeleza bandari yyt bila kumshirikisha huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…