DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

nadhani hata hatujui tunashangilia nn maskini siye
Naanza kuamini, hii itakuwa ni rushwa kubwa kuwahi kutokea katika Nchi yetu.
Hawa washangaliaji siyo wenzetu, wamo kwenye kundi la kina Mwijaku, wanatuhadaa.
 
Naona muendelezo wa Sarakasi na Usanii...

Issue kubwa zaidi ni hayo Makubaliano / Mikataba yoyote inayoingiwa na itakayoendelea kuingiwa iwekwe wazi kila mtu akitaka aweze kuiona haya mengine ni kulishana changa la macho Tunajuaje kwenye hio Tender kama ndio hakuna madudu zaidi kwa atakayepewa au ni usanii na vyote vitaishia kwenye makabrasha
 
Wewe na kanisa lako sijui TEC mlishajibiwa kuwa hamna jeuri ya kuligawa Taifa kama unabisha waambie hao TEC wafanye cha kufanya
Mbuzi kweli wewe, kukosoa mambo mabaya ni kuligawa taifa? Kazi ya viongozi wa dini ni nini sasa? Unamjua Yesu na jinsi alivyokuwa akikemea viongozi wa serikali wa enzi hizo? Unajifanya hujui kuwa Mungu aliwakosoa wafalme wa kale kupitia kwa manabii? Wewe ni nani wa kuwapangia viongozi wa dini cha kukemea? Kwakuwa wamegusa tumbo lako ndio unakuja kubwabwaja hapa, eti kugawa taifa, hopeless creature.
 
View attachment 2734325

Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
Lawama bado zipo pale pale!! DP World wamepewa kuanzia gati namba 0 hado 7!! Na hii tenda iliyotangazwa ni kuanzia gati namba 8 hadi 11. Soma vizuri kiam,batanisho namba 1 (Appendix no. 1) kwenye mkataba wa DP World uone wamepewa kuanzia gati namba 0 hadi 7. Lakini pia hiyo tenda iliyotangazwa inaweza kuwa tenda ndogo ndani ya tenda ya DP World!! Ukiisha kumpa mtu mkataba na yeye anaweza akauza sehemu ya kazi kwa mwingine. Huyo mwingine atawajibika kwake!! na wala si kwa nchi!!
 

Attachments

Mpaka tusikie kuwa bunge la Tanzania limetengua maamuzi yake ya kuridhia mkataba wa IGA na waarabu!! Haya mengine hayawezi kubadili chochote!!
 
Hakuna kitu kama hicho. Soma vizuri paragraph ya tatu ya tangazo ambapo imeainishwa wazi kazi inayotangazwa ni kuanzia gati no. 8-11.
Sawa ndiomana nimemjibu haihusiani na DP World of SSH in Tanzania for Tanganyika
 
Back
Top Bottom