Naanza kuamini, hii itakuwa ni rushwa kubwa kuwahi kutokea katika Nchi yetu.nadhani hata hatujui tunashangilia nn maskini siye
Mbuzi kweli wewe, kukosoa mambo mabaya ni kuligawa taifa? Kazi ya viongozi wa dini ni nini sasa? Unamjua Yesu na jinsi alivyokuwa akikemea viongozi wa serikali wa enzi hizo? Unajifanya hujui kuwa Mungu aliwakosoa wafalme wa kale kupitia kwa manabii? Wewe ni nani wa kuwapangia viongozi wa dini cha kukemea? Kwakuwa wamegusa tumbo lako ndio unakuja kubwabwaja hapa, eti kugawa taifa, hopeless creature.Wewe na kanisa lako sijui TEC mlishajibiwa kuwa hamna jeuri ya kuligawa Taifa kama unabisha waambie hao TEC wafanye cha kufanya
Lawama bado zipo pale pale!! DP World wamepewa kuanzia gati namba 0 hado 7!! Na hii tenda iliyotangazwa ni kuanzia gati namba 8 hadi 11. Soma vizuri kiam,batanisho namba 1 (Appendix no. 1) kwenye mkataba wa DP World uone wamepewa kuanzia gati namba 0 hadi 7. Lakini pia hiyo tenda iliyotangazwa inaweza kuwa tenda ndogo ndani ya tenda ya DP World!! Ukiisha kumpa mtu mkataba na yeye anaweza akauza sehemu ya kazi kwa mwingine. Huyo mwingine atawajibika kwake!! na wala si kwa nchi!!View attachment 2734325
Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
Hakuna kitu kama hicho. Soma vizuri paragraph ya tatu ya tangazo ambapo imeainishwa wazi kazi inayotangazwa ni kuanzia gati no. 8-11.Kuna Gate 0-7 umeyaona hapo kwenye hio tangazo
Sawa ndiomana nimemjibu haihusiani na DP World of SSH in Tanzania for TanganyikaHakuna kitu kama hicho. Soma vizuri paragraph ya tatu ya tangazo ambapo imeainishwa wazi kazi inayotangazwa ni kuanzia gati no. 8-11.