Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah Zombe shenz na jambawaz mkubwa..Hivi hii kesi si ndio ile mashahidi wote walikufa kwa nyakati tofauti tofauti?
Hivi hii kesi si ndio ile mashahidi wote walikufa kwa nyakati tofauti tofauti?
Mahakama ya MUNGU inamsubiri amuulize Ditto . Janja nyingi lakini bado kesi inaibuka tu, hivi haoni MUNGU anasema kwa sauti. Sikiliza MUNGU anasema nawe kuwa mtiifu kwa MUNGU. Yona alifanya Janja Janja lakini aliishia kwenye tumbo ya Nyangumi.Zombe huyu huyu ndiyo yule aliohusiswa na wafanya biashara wa madini Morogoro miaka ile na Mauaji mengine 2006 Dar es salaam yaliyoleta utata mwingi akiusishwa na kina Tibaigana enzi zile za mauaji ya watu waliokuja kugundulika hawakuwa majambaz...Na sasa hii tena na zote anachomoa....
Mbona tulimshambulia sana Rais aliposema kuwa DPP alihusika kuihujumu serikali kwenye kesi ya Samaki wa Magufuli?
Mzee tupatupa wa Lumumba,heshima yako mkuu;Watanzania kwa sasaNaandika haya kwa uchungu mkubwa. Ingawa kwasasa sifanyi kazi za kiwakili,nafahamu vyema taratibu za kiwakili kuanzia mahakama ya Mwanzo hadi ya Rufani. Nafahamu kwakuwa nami ni Msomi wa Sheria. Nafahamu kuwa rufaa huchipu,kumea na kujikita kwenye shauri au kesi ya mwanzo. Hakuna nafasi,kwenye rufaa,kuweka mambo au kesi mpya. Hata kama kwasasa nafanya siasa za CCM,hayo nayajua na yamenikaa.
Sasa kuna rufaa katika Mahakama ya Rufani iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini almaarufu kama DPP. DPP anapinga uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kumwachia huru aliyekuwa Kamishna Msaidizi wa Polisi Abdallah Zombe na wenzake. Washtakiwa hao ambao sasa ni Warufaniwa walikuwa wakishtakiwa kwa kosa la mauaji. Hakukuwa na shtaka la kuficha wahalifu.
Sasa,zinachomoza ripoti kuwa DPP amewasilisha rufaa yake Mahakama ya Rufani kukiwa na shtaka jipya:kuficha wahalifu. Narudia tena,kama Mwanasheria na kada mbobezi wa CCM,kuwa rufaa haipaswi kuwa na jambo jipya. Kama kinachosemwa ni kweli,DPP must go. Kama kinachoandikwa ni kweli,Zombe na wenzake watashinda kiulaini.
Siamini kwanza kisemwacho kwakuwa hakiwezekani!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kushinda kesi kunahitaji akili ya ziada. Kuwa mwanasheria tu haitoshi. Nina wasiwasi Kama serikali Ina uwezo wa kushinda kesi.DPP ubabaishaji katika taaluma haufai! Maigizo tu!
tuko pamoja kwa hiliNaandika haya kwa uchungu mkubwa. Ingawa kwasasa sifanyi kazi za kiwakili,nafahamu vyema taratibu za kiwakili kuanzia mahakama ya Mwanzo hadi ya Rufani. Nafahamu kwakuwa nami ni Msomi wa Sheria. Nafahamu kuwa rufaa huchipu,kumea na kujikita kwenye shauri au kesi ya mwanzo. Hakuna nafasi,kwenye rufaa,kuweka mambo au kesi mpya. Hata kama kwasasa nafanya siasa za CCM,hayo nayajua na yamenikaa.
Sasa kuna rufaa katika Mahakama ya Rufani iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini almaarufu kama DPP. DPP anapinga uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kumwachia huru aliyekuwa Kamishna Msaidizi wa Polisi Abdallah Zombe na wenzake. Washtakiwa hao ambao sasa ni Warufaniwa walikuwa wakishtakiwa kwa kosa la mauaji. Hakukuwa na shtaka la kuficha wahalifu.
Sasa,zinachomoza ripoti kuwa DPP amewasilisha rufaa yake Mahakama ya Rufani kukiwa na shtaka jipya:kuficha wahalifu. Narudia tena,kama Mwanasheria na kada mbobezi wa CCM,kuwa rufaa haipaswi kuwa na jambo jipya. Kama kinachosemwa ni kweli,DPP must go. Kama kinachoandikwa ni kweli,Zombe na wenzake watashinda kiulaini. DPP sasa ni Ndugu Biswalo Mganga.
Siamini kwanza kisemwacho kwakuwa hakiwezekani!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Hakuwa huyu. Alikuwa Jaji Feleshi
Mzee Tupatupa[/QUOTE
DPP sio mtu bali Ofisi, kama ofisi ya DPP kwa maana ya wahauri wake hawako makini huyo DPP atabaki kushindwa kila kesi, mara nyingi Serikali inapoteza kwenye kesi isipokuwa za Ubunge.
Pumba zakoKutafsri sheria na kutoa haki ni vitu viwili tofauti.
Cheo sio Jina! Kama unatumika ujue yeyote atatumika tu!Felesi siyo Biswalo, angalia ndugu ingawa cheo cha DPP ni kile kile ila watumishi ni tofauti.
Zombe amehusishwa ktk kesi kwa kuwa yeye kipindi kile alikuwa ana kaimu u- RPC tibaigana alikuwa likizo hivyo Zombe ndiye alikuwa ametoa taarifa ya kuuawa wale jamaa akiwahusisha na tukio la ujambazi lililotokea maeneo ya kariakoo,hivyo hao wengine hawahusikiSasa nimebaini kumbe Serikali inaajiri mawakili wasio na viwango na wale wenye viwango wanaangukia kuwa wa kujitegemea. Hili la Zombe kushitakiwa kwa kuficha wahalifu DPP hakuliona mwanzo. Na kama Zombe alificha wahalifu kwa nafasi yake je Kamanda Tibaigana aliyekuwa juu ya Zombe DCI na IGP mbona hawakuwakamata au nao watashitakiwa baadaye.