DPP amuondolea shtaka Abdallah Zombe

Ni ile ile ya mwaka 2006 mkuu
 
Tatizo moja hao ma DPP wanatumika na wakubwa kufanya wana siasa wanavyotaka! Sio kama hajui analofanya ni upuuzi dunia nzima inashangaa ila hana jinsi wana siasa wakitaka lao linakuwa! Wajua w siasa wanawatumia , jeshi polisi kwenye mambo yao hasa kuwapunguz kasi wapinzani.....(Kesi ya waliomuua Mwangosi alipandisha cheo amestaafu na mafao ya kamishna)...hivyo hawawezi kuwaacha, wanalindana!!
 
Hawa ma DPP sina imani nao tena yaani mtu amekamatwa ana hujumu uchumi kwa kuiba mafuta ya Pipe ya Zambia na Tanzania kisha DPP anasema hana nia ya kuendelea na kesi.
 
Mwendesha mashataka wa Serikali(DPP) amemuondolea kosa la mauaji aliyekuwa mkuu wa upelelezi MKoa wa Dar, Abdala Zombe.

Amebakiwa na shtaka la kuficha wahalifu.

======================
.
Hivi Kasusura yupo kweli duniani hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…