DPP awafutia Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio kesi ya Uchochezi

Lisu alivyojaa woga hata hawezi kushukuru

USSR

..DPP amewalenga wahariri wa gazeti la Mawio waliokuwa wakishtakiwa pamoja na Lissu.

..Lissu ana kesi nyingine ambazo anashtakiwa peke yake, na hizo bado hazijafutwa, na uwezekano mkubwa hazitafutwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…