Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Huyu kijana amebeba kilio Cha familia nyingi nchini, amewatesa watu kwakuwabambikia kesi huku akikusanya pesa za watu kwa mgongo wa uhujumu uchumi.
Ofisi yake imeoza kwa kukosa hofu ya Mungu nakujitwalia roho ya kikatili, niombe ifike mahali watu wa aina hii wasipewe nafasi nyeti hivi. Haki imepotea nchini kwa kukosa watu makini, senior state attorney wote wanajiona miungu watu Kama vile wao ni exptional kwenye hii nchi.
Hawa watu wamekuwa matajiri kupitia mfumo wa Bagaining ulioanzishwa kwa lengo lakukomesha wafanyabiashara na wanasiasa wa upinzani. Haya ni maisha tu ipo siku machungu ya wafanyabiashara yatasikika.