DPP Biswalo Mganga umewatesa watu wengi kwa kiburi cha madaraka!

Huyu bwana kafanya kazi mihemuko sana sana awamu ya tano. Yaani ameumiza watu huyu - acha kabisa!
Hivi kwa uturn ya 360% ya Mama against mambo ya awamu ya tano kwa sasa hivi huyu bwana anajionaje? Kumbka hakuwahi kabisa kutolea maelezo yale mabulunguta ya mahela ambayo aliyopokelea ofisini kwake badala ya Benki (mwenye picha anisaidie kuweka hapa)?. Huyu bwana hayupo tofauti na kundi la akina Sabaya la waporaji wa mali za watu! Mbaya sana kwa kweli!
Mtu naomba moja wa kunyongwa nchi hii ni Mganga na wapili Ndugai
 
Mheshmiwa SSH anapaswa fahamu inabidi afanye mabadiliko makubwa kwenye safu yake ili kutoa watesaji na wadhulminati kama ameamua kusimamia haki kwa wote! Haraka aachilie waliofungwa kimaonevu
 
Asante kwa hii photo! Ingekuwa tuna integrity ya uhakika ni kweli kabisa tukio hili lingeundiwa hadi Tume ili kupata ukweli kama haya mabulunguta ya fedha hayakwenda mikononi mwa watu. Hii ni hamna tofauti na mahela yaliyotoka kwenye Akaunti ya Escrow!
Mheshmiwa SSH anapaswa fahamu inabidi afanye mabadiliko makubwa kwenye safu yake ili kutoa watesaji na wadhulminati kama ameamua kusimamia haki kwa wote! Haraka aachilie waliofungwa kimaonevu
Umenena vema! Huyu Muganga hafai kabisa - alikuwa zaidi hata ya TRA. Mtoza ushuru wa kwenye Biblia!
 
Mheshmiwa SSH anapaswa fahamu inabidi afanye mabadiliko makubwa kwenye safu yake ili kutoa watesaji na wadhulminati kama ameamua kusimamia haki kwa wote! Haraka aachilie waliofungwa kimaonevu
Sema hawezi fanya haraka haraka,hao atawafuta mdogo mdogo lazima waondoke, ila akina sabaya waondoke mapema na wafikishwe mahakamani maana ushahidi upo
 
Ofisi hii imelalamikiwa sana lakini sio hii..
 
Huyu kijana amebeba kilio Cha familia nyingi nchini, amewatesa watu kwakuwabambikia kesi huku akikusanya pesa za watu kwa mgongo wa uhujumu uchumi.

Ofisi yake imeoza kwa kukosa hofu ya Mungu nakujitwalia roho ya kikatili, niombe ifike mahali watu wa aina hii wasipewe nafasi nyeti hivi. Haki imepotea nchini kwa kukosa watu makini, senior state attorney wote wanajiona miungu watu Kama vile wao ni exptional kwenye hii nchi.

Hawa watu wamekuwa matajiri kupitia mfumo wa Bagaining ulioanzishwa kwa lengo lakukomesha wafanyabiashara na wanasiasa wa upinzani. Haya ni maisha tu ipo siku machungu ya wafanyabiashara yatasikika.

Haitoshi kutolewa na kuwa jaji ,biswalo inatakiwa afungwe.
 
Kumekucha tena !
 
Back
Top Bottom