DPP Biswalo Mganga umewatesa watu wengi kwa kiburi cha madaraka!

Mtu naomba moja wa kunyongwa nchi hii ni Mganga na wapili Ndugai
 
Mheshmiwa SSH anapaswa fahamu inabidi afanye mabadiliko makubwa kwenye safu yake ili kutoa watesaji na wadhulminati kama ameamua kusimamia haki kwa wote! Haraka aachilie waliofungwa kimaonevu
 
Asante kwa hii photo! Ingekuwa tuna integrity ya uhakika ni kweli kabisa tukio hili lingeundiwa hadi Tume ili kupata ukweli kama haya mabulunguta ya fedha hayakwenda mikononi mwa watu. Hii ni hamna tofauti na mahela yaliyotoka kwenye Akaunti ya Escrow!
Mheshmiwa SSH anapaswa fahamu inabidi afanye mabadiliko makubwa kwenye safu yake ili kutoa watesaji na wadhulminati kama ameamua kusimamia haki kwa wote! Haraka aachilie waliofungwa kimaonevu
Umenena vema! Huyu Muganga hafai kabisa - alikuwa zaidi hata ya TRA. Mtoza ushuru wa kwenye Biblia!
 
Mheshmiwa SSH anapaswa fahamu inabidi afanye mabadiliko makubwa kwenye safu yake ili kutoa watesaji na wadhulminati kama ameamua kusimamia haki kwa wote! Haraka aachilie waliofungwa kimaonevu
Sema hawezi fanya haraka haraka,hao atawafuta mdogo mdogo lazima waondoke, ila akina sabaya waondoke mapema na wafikishwe mahakamani maana ushahidi upo
 
Ofisi hii imelalamikiwa sana lakini sio hii..
 
Haitoshi kutolewa na kuwa jaji ,biswalo inatakiwa afungwe.
 
Kumekucha tena !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…