Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu amesema hakukuwa na nia kwa Wakili kufungua kesi ya jinai labda kuna sababu nyingine ambayo haijafahamika na alichokifanya kuingilia kesi hii ni kutimiza majukumu yake kisheria kwa sababu leo ni kwa huyu (Mhe. Pauline Gekul) lakini kesho inaweza kuwa kwa mtu mwingine yoyote.
Amesema aliyefungua keshi ya Gekul alipeleka chini ya Kifungu cha 128 (2) (4) na ile sio Private Prosecution. Na sheria imetoa mwanya pale mambo mtu aridhiki kwa namna DPP anaendesha mashtaka anaweza kuomba kuendesha mashtaka yeye.
Anasema kilichotokea kwa Pauline Gekul ni kwamba Polisi walikuwa wanaendelea na Uchaguzi, mara DPP anaona kesi imesajiliwa Mahakama. Ambapo alifutilia kuangalia kama utaratibu wa kifungu cha namba 128 umefuatwa maana yeye kama DPP hakuwa anajua.
Anasema Polisi walikuwa hawajafika mwisho na uchunguzi na walikuwa wanachunguza vitu viwili kwa sababu Gekul alienda Polisi kushtaki na aliyeshtakiwa na Gekul naye alienda kushtaki Polisi. Na hivyo aliamua kuondoa kesi hiyo mahakamani kwa mujibu wa sheria
Amesema majarada ya Pauline Gekul yamefika ofisini kwakwe na wanafanyia kazi na pengine wikii hii ama watashtaki au hawatashtaki na kuna jarada ambalo Gekul analalamika na ambalo analalamikiwa.
Tanzania viongozi wanafanya watakavyo kwa sababu ya uswaza wa sisi raia. Washenzi kama hawa hawana tofauti na vibaka na wanatakiwa kushughulikiwa kama vibaka.
Uzuri Karma ipo,siku mtu wake wa karibu akiingiziwa chupa makalioni,atumie hii hii nguvu ya kumsafisha muhalifu.Namuonea sana yule kijana aliyefanyiwa ule ukatili.
Sylvester Mwakitalu - Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP) amesema hakukuwa na nia kwa Wakili kufungua kesi ya jinai labda kuna sababu nyingine ambayo haijafahamika na alichokifanya kuingilia kesi hii ni kutimiza majukumu yake kisheria kwa sababu leo ni kwa huyu (Mhe. Pauline Gekul) lakini kesho inaweza kuwa kwa mtu mwingine yoyote.
Hata mm sijamwelewa.Naona sheria za Tanzania ni kwa ajili ya kuwalinda vigogo wa ccm na si wananchi.Hivi anamaanisha mm leo kwa Gekul kesho kwa mwingine hivi ndo sheria ziko hivi!
Huyu DPP nimesikiliza mwanzo mwisho, ni magumashi tupu, sasa kwa nini aingilie kesi na kuifuta kwa technicality ? kwa nini yeye asifungue yake na tuone kwamba ameifungua na inaendelea? anatoa sababu lojolojo tu bila mpango. Sheria iachwe itiririke kama maji ya mtoni hadi baharini kwa majaji tuone kinachoendele, sio hizi incompitencies za hawa so called BPP...
Hio imeenda dogo Bora angevuta ile milioni 10 akafanye mishe zingine naona alipotoshwq na mawakili uchwara kina madereka.
Haki bongo pesa huna umaarufu huna sio kada
Uzuri WA bongo sheria uamuliwa na jinsi ulivyo ukiwa na pesa au maarufu au kada huwezi tendewa SAWA na asiye.
Naona wanapanga kumuachia mke wa msuya muuaji mkubwa wazee wa Baraza washavuta sema wanaogopa jamii eti kesi kaangushiwa housegirl,kibatala kashavuta zake kumtetea mama wa kimachame