DPP: Hakukuwa na nia ya kufungua kesi ya Jinai dhidi ya Pauline Gekul

Kwa hiyo intelijensia ya Rais haiko "smart" kiasi hicho, kwamba ilikosea kumshauri Rais kumtengua mdada wa watu kwa kosa ambalo hakufanya?!
Let's be serious
 
Kama ana point, kashindwa kuielezea vizuri.
 
Uzuri Karma ipo,siku mtu wake wa karibu akiingiziwa chupa makalioni,atumie hii hii nguvu ya kumsafisha muhalifu.Namuonea sana yule kijana aliyefanyiwa ule ukatili.
Acha chupa bwashee, hebu jaribu kujiingizia dole gumba tu uone mziki wake!! Hakuna kidume chupa inaweza kupenya hata nusu sentimita! Labda kwa nyie vijana wa CDM
 
Asante sana ccm tumewaelewa sana .
Lkn mjue kuwa huyo kijana aliyefanyiwa huo unyama na Gekur angekuwa ni mmoja wa watoto wenu msingekuwa na lugha za mzungusho
 
Hata sielewi huyu mtu ana maana gani. Yaani hizi ndo teuzi ,inazofanywa kizembe hadi nchi inaangukia mikononi mwa wsomi uchwara.
Wasomi wa bongo ni wapigaji tu wala hakuna mwenye uchungu na watanzania
 
Hio imeenda dogo Bora angevuta ile milioni 10 akafanye mishe zingine naona alipotoshwq na mawakili uchwara kina madereka.
Haki bongo pesa huna umaarufu huna sio kada

Sometimes pesa si muhimu kuliko utu. Angekausha ina maana angetoa ruhusa kwa wengine kufanyiwa the same mwisho wa siku wapewe hela wanyamaze. Hili halikubaliki
 
Tanzania viongozi wanafanya watakavyo kwa sababu ya uswaza wa sisi raia. Washenzi kama hawa hawana tofauti na vibaka na wanatakiwa kushughulikiwa kama vibaka.
Bila kuiondoa ccm kamwe tusitegemee kupata haki.

Fikiria wazazi wa huyo kijana aliyetendewa huo unyama wanajisikiaje?

Kisa kosa limefanywa na mbunge wa ccm basi wanafanya juhudi zote za hovyo kumlinda.
 
Duh kwa hiyo hao madogo hawajasokomezwa chupa mknddddn

Ova
Upelelezi ndiyo utasema yote,ni swala la muda tu! Kama kutakuwepo na ushahidi konki DPP lazima atasajili kesi Mahakamani hana jinsi,lakini kama kuna mauzauza yote tutajua!!
 
Uzuri Karma ipo,siku mtu wake wa karibu akiingiziwa chupa makalioni,atumie hii hii nguvu ya kumsafisha muhalifu.Namuonea sana yule kijana aliyefanyiwa ule ukatili.
Nazidi kuichukia ccm kwa matukio ya hovyo kama haya.

Ndiyo maana watanzania wanapaza sauti zao kudai katiba mpya ambayo itaondoa madaraka makubwa kwa hawa watawala.
 
Hata mm sijamwelewa.Naona sheria za Tanzania ni kwa ajili ya kuwalinda vigogo wa ccm na si wananchi.Hivi anamaanisha mm leo kwa Gekul kesho kwa mwingine hivi ndo sheria ziko hivi!
Umeonaeeeeeee?
Yaani jamaa pamoja na usomi wake lkn anashindwa hata kuilinda nafasi ya katiba kwa nafasi yake
 
Lawama ni kwa wale wote waliochagua ccm
 
Hii nchi ni ya kipumbafu sababu vijana wamegeuzwa kuwa daraja la watawala.wamepumbazwa na rushwa za watawala kwa kugeuzwa machawa.
Tatizo ni kuendekeza NJAA
 
Alitaka kukimbilia Kenya kwa kesi yenyewe ndogo hiii utadhani hayupo ccm
 
Nani anawajali mkuu?
Kuna mawili hapo

1)wanao tuhumiwa kusokomekwa chupa mknddd wametulizwa na mlungula wamekubali yaishe baada ya kupozwa hela
2)yawezekana pia,walimsingizia mbunge kuchafuana kisiasa

Ila kama kweli walisokomekwa chupa hao watoto washaharibiwa na wametujazia tu mashg wa badaye

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…