DPP: Hakukuwa na nia ya kufungua kesi ya Jinai dhidi ya Pauline Gekul

Upelelezi ndiyo utasema yote,ni swala la muda tu! Kama kutakuwepo na ushahidi konki DPP lazima atasajili kesi Mahakamani hana jinsi,lakini kama kuna mauzauza yote tutajua!!
Huoni kama waliyotendewa kama wamekuwa waZito na kuendelea kesi

Ova
 
DPP mpumbavu huyu enzi za jiwe angekuwa anasubiri kazi nyingine muda huu.
 
Kwa akili yako unaweza kusingizia umesokomezewa chupa mkndn?
 
Ndio maana wadigo wa Tanga Kuna wakati wanachukua maamuzi magumu na kumaliza haya Mambo kienyeji.
Tanga sio Mara moja kukuta mtu anakohoa mahakamani na hawezi kuongea kabisa Ila akifika nyumbani anakua mzima wa afya.
 
Ndio najua kama Tanzania kuna sheria ya mtuhumiwa kutokamatwa au kupelekwa mahakamani wakati polisi wakiendelea na uchunguzi,maana kuna wengi wapo majela miaka na miaka bila kuhukumiwa huku polisi wakiendelea na uchunguzi!
 
Tusimlaumu Di Pi Piii , ni maelekezo toka juu hana la kufanya na ndiyo maana kwenye maelezo yake anajiuma uma tu.
 
confusion over confusion......nyoooo
 
Kuna mambo huwa hayasubiri siku ya kiama. Mfano ukitafuna haki ya mtu it will come back to you sooner or later na mara nyingi maumivu yake ni mara mbili ya maumivu uliyosababisha. I learnt this the hard way.

Kwako DPP
 
Hata haeleweki anachosema huyu.
Gekul angekuwa mwananchi wa kawaida tu huyo DPP angefuta kesi?
 
Kuna mambo huwa hayasubiri siku ya kiama. Mfano ukitafuna haki ya mtu it will come back to you sooner or later na mara nyingi maumivu yake ni mara mbili ya maumivu uliyosababisha. I learnt this the hard way.

Kwako DPP
Naunga mkono hoja
 
Ukimsikiliza sawasawa kwa utulivu utagundua wazi kuwa huyu siyo mtoa haki kwa wananchi. mengine unaweza kujazia ...
 
 
Duh kwa hiyo hao madogo hawajasokomezwa chupa mknddddn

Ova
Kwa mujibu WA Sheria mnamfaham alieivuruga kesi?Sheria NI teknik tu.watu wenye pesa wanajua kucheza na sheria.wasiojua hawatamuelewa DPP.
 
Kwa mujibu WA Sheria mnamfaham alieivuruga kesi?Sheria NI teknik tu.watu wenye pesa wanajua kucheza na sheria.wasiojua hawatamuelewa DPP.
Watu wengi wanamlaumu DPP badala ya kumlaumu DCI, kama kuna ushahidi wa kutosha DCI afanye kazi yake,maana DPP anachopeleka mahakamani ni ushahidi uliyo imara! Sasa kama kuna mtu kachezea ushahidi huko chini,wa kulaumiwa ni DCI na team yake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…